I loved you a lot but i don't need you any more, i hate you

Nyani Ngabu anajitahidi lakini hajafikia kiwango

Mpaka maneno mengine ayatafute kwenye kamusi kwanza:p

Btw Gaijin si mtashtiti ana twafash tu Mara moja moja :p
 
Nyani Ngabu anajitahidi lakini hajafikia kiwango

Mpaka maneno mengine ayatafute kwenye kamusi kwanza:p

Btw Gaijin si mtashtiti ana twafash tu Mara moja moja :p

naenda kununua ile kamusi ya TUKI kubwa kama mkate wa sunkist
 
post #48 ndo hii

sijui inahusiana vipi na hii ya hapa chini....(kama bado huelewi....never mind, tusongeshe jioni yetu haste haste bibie)
Hata mie sijakuelewa...poa poa
 
Bht

Machungu hayaishi na umri lakini ukiwa mtu mzima labda una expect less na ndio maana disappointments zinakuwa ndogo
 
U keep growing stronger as u face challenges, i wish u get another one. That is life, ups and downs....move on
 
nyani ngabu anajitahidi lakini hajafikia kiwango

mpaka maneno mengine ayatafute kwenye kamusi kwanza:p

btw gaijin si mtashtiti ana twafash tu mara moja moja :p

dah..twafash...
Nitakupa miji mingapi sasa????lol
 
Bht

Machungu hayaishi na umri lakini ukiwa mtu mzima labda una expect less na ndio maana disappointments zinakuwa ndogo

nimeuliza hivo kwa kuwa mleta uzi wake ni kama umri wake umehusishwa na hii mada yake...
 
nimeuliza hivo kwa kuwa mleta uzi wake ni kama umri wake umehusishwa na hii mada yake...

Si basi tu si miongoni mwa ma al-watan wa JF ndo maana tulitaka kumchinjia baharini! Angekuwa mtu mwenye jina tayari tungetoa pole kwa wingi tu
 
  • Thanks
Reactions: bht
Daah, haya mapenzi yanayoanza kwa kutamani avatar za watu humu yana mushkel yanapokolea na yataacha wengi wamenyong'onyea!!
 
I gave my heart my soul my body and my trust, i loved you more than everthing, sijawah kukucheat ht siku 1. but now umeamua kunitenda unatongoza mwanamke JF bl kunihurumia,kwanini mpenzi wangu? Nimekukosea nini? naumia sana,sijawah kuumia hivi.,MY LOVE FIGGANIGGA REMEMBER THAT I LOVED YOU A LOT AND I WILL ALWAYS LOVE YOU BUT SITAKUSAMEHE na anzia leo I DON'T WANA SEE U EVER AGAIN,@=,:dedication 4 u: I WILL ALWAYS LOVE YOU by witney houston. BYE
<br />
<br />
Na we jitongozeshe humu humu ili iwe ngoma droo,anza kuwa PM sasa.
 
Back
Top Bottom