Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Au pia unajibu *tnx"Maana yake!!!!! Evelyn Salt
Au pia unajibu *tnx"Maana yake!!!!! Evelyn Salt
Au pia unajibu *tnx"
I love you sio swali
Eeh kaa kimya haina madharaNi msemo tu kwa hiyo nikae kimya
hivi I Love You ni swali mpaka uje kutafuta majibu yake ?
Unanikumbusha dem mmoja aliambiwa Happy Birthday akajibu same to you
Mi nahs swali sio lazima liwe na question mark (?) sometimes statement inaeza ikawa swali. Majibu ni mengi sana mfano unaeza jibu
•"I love u more"
•" Hearing you say that makes me so happy."
•"It means so much that you're opening up to me like this. Thank you."
•"I'm so happy you told me"
Response hutegemea na muda mwafaka.
Mjibu..lets have sex...
thanksMambo zenu wana mmu
Hili neno linanitatiza, mtu akikuambia" I love u" unatakiwa umjibu vipi? kiukweli mimi huwa nashindwa kujibu.
Naombeni majibu yenu tafadhali