I love you

I love you

Kufungua uzi unaweza lakini jibu la hiyo statement huna....... Thinking loud

Maana ya kufungua uzi ni ili upate elimu usioijua toka kwa members wenzio,burudani na n.k.

Nasubiri jibu
 
m nngecheka hahahahahahahahahahaha!!!!!!!
 
I miss you too...(hata kama hujammiss)sasa utafanyaje??
dah naona ugumu kumwambia mtu nimemmiss wakati nilikua sijamfikiria hata kidogo mpaka tunaonana.....ila wanasema maisha bila unafiki hayaendi
 
Kule Siasani! Ndio kama nafasi ipo nijulishe lakini lazima Urudishe kwanza kadi Ya Chadema
Kwa sababu tuna kinzana mawazo ndo wanasema napotea?? Halafu me sio mwanachama wa Chadema, me ni mtanzania naipenda nchi yangu, na kadi inakuzuia nini km ningekuwa nayo??? Nipende mie
 
Mambo zenu wana mmu

Hili neno linanitatiza, mtu akikuambia" I love u" unatakiwa umjibu vipi? kiukweli mimi huwa nashindwa kujibu.

Naombeni majibu yenu tafadhali
Akikuambia hivyo we mjibu I love u too Dog
 
Mambo zenu wana mmu

Hili neno linanitatiza, mtu akikuambia" I love u" unatakiwa umjibu vipi? kiukweli mimi huwa nashindwa kujibu.

Naombeni majibu yenu tafadhali
Kingereza unajua lakini???
Kama unajua unajua jibu
 
Kwa sababu tuna kinzana mawazo ndo wanasema napotea?? Halafu me sio mwanachama wa Chadema, me ni mtanzania naipenda nchi yangu, na kadi inakuzuia nini km ningekuwa nayo??? Nipende mie
upo tayari tuanzishe penzi la dhati
 
wewe utaendelea na uccm wako na mie nitaendelea na upinzani wangu, ila tutakuwa wapenzi, I love you ibra87
hapo nipo tayari! Nakupenda pia habari ya hapa. Nataka nikufanye uwe mwanamke mwenye thamani kubwa kwangu.. Hakika hutajuta kunikabidhi penzi lako... Nakupenda pia @habari ya hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom