I love you!!

Hahahhaha....yani unanisema alafu nimeanza kujirudi ndo unaniruka???(ngoja nimwambie CPU jinsi unavyomharibia!! )

Chonde choche usiniharibie uhusiano wangu na huyo jamaa tafadhali sana nakuheshimu ujue.

Mie sisemi kitu tena.

Me penda wewe ujue
 
dah jumatatu hii nimekaa ki i love you i love you!!!
Natamani kumwambia mtu na nnatamani kuambiwa nakupenda...nakupenda...nakupenda!!

So popote pale ulipo mr prince charming a.k.a mr right i looooove youuuuuuu!!

why why why why why why why why????????????????do you love him?
 
Chonde choche usiniharibie uhusiano wangu na huyo jamaa tafadhali sana nakuheshimu ujue.

Mie sisemi kitu tena.

Me penda wewe ujue

Heheheh aya we tulia na mimi nitulie!!!
Mimi penda wewe kwahiyo tusaharibiane mamaa!!!
 
Back
Top Bottom