I love you UDSM!

I love you UDSM!

jmchimbadhahabu

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
221
Reaction score
112
Nilitamani sana kuchukua degree yangu mlimani,nashukru Mungu aluskia ndoto zangu na mwezi ujao naingia mwaka wa pili.Najisia raha sana kuwa pale mlimani,maisha ni matamu na changamoto ni nyingi piaKaribuni wageni wote under na postgraduate! Kama juhudi zako ndio zimekuleta Udsm,huwezi kudisco kirahisi,Kaza ndio principle yetu hapa katika home ya intellectuals! Karibuni
 
Hongera kwa kuingia mwaka wa pili. Kaza buti hakuna kigumu kama ukiamua kukaa chini na kufanya yale yaliyokupeleka UDSM. Ukifanya hivyo masomo utayaona rahisi sana na maisha pia utayaona ni tambarare.
 
Kukaa karibu na mahakama haimaanishi kuwa unajua sheria. Inahitaji ukaze kwel kwel ili ukitoka mchango wako watu waukubali kuwa YES the man is from University.
 
Hata mie nakaza buti wani day niwe member WA UDSM
 
yan UDSM ni pasua kichwa uwiii, tena omba mungu ucpangiwe kwenye branch zao za duce na mkwawa.....kule ni mateso bila chuki weekend utazckia redion tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom