I love you bujibuji

@queen horse,
dah...... ninatokwa na machozi ya fura.
Leo tabasamu na machozi vimekutana kwa wakati mmoja chama na mamndenyi hebu sogeeni pande hizi......
CC:_ mwaJ
 

Hebu fafanua queen horse unamlavu vipi huyu jamaa ili tujue jinsi ya kukupa tahadhari.. Sifa kubwa ya Bujibuji ni play boy & heartbreaker lol..
 
Last edited by a moderator:
Inakuaje tena huhitaji na ushamzimia huyu "chambegu?"
au hujavunjaga sinia ?

Ha ha ha.. naona bado hajavunjaga huyu lol..

Btw hujambo ndugu yangu Judgement..? Nikutakie sikukuu njema yenye amani na utulivu..
 
Last edited by a moderator:
Hebu fafanua queen horse unamlavu vipi huyu jamaa ili tujue jinsi ya kukupa tahadhari.. Sifa kubwa ya Bujibuji ni play boy & heartbreaker lol..
sosoliso, u- hater umeuanza lini? Sikuelewi unajua..... Mwenzio napendwa wee unaumiaaaaaaa, kulikoni kijana? Paloma hebu njoo uone huyu unayemwita mpenzi wako anavyohangaishwa na nyota yangu
 
Last edited by a moderator:
sosoliso, u- hater umeuanza lini? Sikuelewi unajua..... Mwenzio napendwa wee unaumiaaaaaaa, kulikoni kijana? Paloma hebu njoo uone huyu unayemwita mpenzi wako anavyohangaishwa na nyota yangu


Tangu umwone huyu mtaalamu wa kusafisha nyota si mchezo .....NYOTA INANG'AA KWELI...umeanza hata kuwafunika wakina Diamond wa CC.....

 
Tangu umwone huyu mtaalamu wa kusafisha nyota si mchezo .....NYOTA INANG'AA KWELI...umeanza hata kuwafunika wakina Diamond wa CC.....


Halafu bado analalamika ati mie ni hater wakati namsaidia ku-shape nyota yake.. Bujibuji bana..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…