I love you as my brother

nlikuwaga namjibu zombie hivyo hivyo, sasa hivi nkimuwaza tu natupa skin tait kule.

Soma between the legs upate anachokuambia.

Hahahaaaaaaa.......Yaaani umenichekesha sana..!!
 
Mwanaume unaona kabisa anakupenda but huna hisia nae hata za kujilazimisha,ila anaekusumbua ndo kutwa hulali kisa kumuwaza...Sijui kwanini huwa inakuwa hivi
 
Ndg yangu usiwe kama kipofu aliyefunguliwa macho akamuona dada m1 kisha akafumbwa tena,vifaa vimejaa tele! hayo majibu yanamaanisha kuna mtu anatumia hyo PROJECTER KUCHECK MOVE yake ila ww unataka kumuaribia.Accep to be as her bro,en don't complain more.
 

Inaonekana wewe ni mdogo sana kiumri ....!!
 
Komaa nae tu. Tatizo vijana siku hizi tumeharibiwa sana na uwingi wa maharage ya mbeya.

Mbona enzi zile tulikuwa tunakomaa mwaka na zaidi.
 
Mwanaume unaona kabisa anakupenda but huna hisia nae hata za kujilazimisha,ila anaekusumbua ndo kutwa hulali kisa kumuwaza...Sijui kwanini huwa inakuwa hivi

penzi likishaanza ni kazi kidogo kulivunja. But kama utaamua kwa makusudi kufungua Moyo kwa Huyo mwingine fasta tu unakolea. Game la kwanza tu linahamisha Hisia zote.
 
Mwambie aache ufala kwan home kwao amekosa kaka hadi uwe ww!!?
 
penzi likishaanza ni kazi kidogo kulivunja. But kama utaamua kwa makusudi kufungua Moyo kwa Huyo mwingine fasta tu unakolea. Game la kwanza tu linahamisha Hisia zote.

mhhh hiyo game lenyewe nafanyaje kwanza na mtu ambae hata moyoni hayupo..kupenda mtu unataka but the heart is js cold..kumhug tu shida sembuse kunanii
 
Friends ZOne hiyo..kutoka si rahisi..kabisa..!!
 
huo ndo upendo wa AGAPE mkuu.love her like sister....life goes on
 
isee.. madem ni wakatili sana kwa kauli zao.. pole mkuu bora hata angekudanganya anakupenda hata akikufanyia visa utamzoea tu..
 
mtumie m pesa laki 1 alafu kesho utaniambia kama hajabadili ilo jina ukiendelea kung'ang'ania na maneno matupu utajibiwa na mengine ya karaha zaid, anakoeleka atakwambia nna boyfriend tayar
 
Angekuambia je I love you as my father au my sister????
 
Then be a lovable brother to her while ur taking the advantage of being close to her as a brother ,to know her wel...On the other side wht if by being close to her yu wil come to realize she is not as much as yu frst expcted?!? sorry m not trying to be offensive bt take the chance and let the time prove ur love or her statement wrong.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…