Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 620
I love u as ma brother
hilo ndo jibu nililopewa kutoka kwa mrembo niliyemtokea takribani mwezi mmoja uliopita,,
kiukwel imenikata stimu baada ya kusikia ivyo kutoka kwa mrembo huyo.,
nifanyeje wana MMU ili aweze kutengua kauli yake na kuingia ndani ya box.,!
I love u as ma brother
hilo ndo jibu nililopewa kutoka kwa mrembo niliyemtokea takribani mwezi mmoja uliopita,,
kiukwel imenikata stimu baada ya kusikia ivyo kutoka kwa mrembo huyo.,
nifanyeje wana MMU ili aweze kutengua kauli yake na kuingia ndani ya box.,!
usimuache !! wala usitupe mbao hiyo ni bahati yako mseya.Mpotezee tu na kumuona kama sista wako. Mapenzi hayalazimishwi.
hapo unakuta ashakuona we si wa vyango vyake,akikuambia hivo unatakiwa unamjibu tu "POA",ataanza kujiuliza mbona huyu jamaa kajibu short hivi alikuwa serious kweli!tatizo ukiendelea kumbembeleza unajishushia thamaniKweli tunatofautiana!
Yaani kuna watu mnapenda kudanganywaaaaaa!
Ke ni jasiri sana akikupa kauli kama hiyo! Na ke hawakurupuki pale watoapo kauli hiyo!
Huna njia zaidi ya kuonekana limbukeni!
Kama vipi kamroge!
skin tyt zinavaliwa bado?mana naona siku hizi wengi ni bikini tu hata kama wamevaa skirtnlikuwaga namjibu zombie hivyo hivyo, sasa hivi nkimuwaza tu natupa skin tait kule.
Soma between the legs upate anachokuambia.
skin tyt zinavaliwa bado?mana naona siku hizi wengi ni bikini tu hata kama wamevaa skirt
Mkuu nikwambie kitu😀emu mwenye viwango haambiwi siku moja tu akakubali kama wale akina dada wanaofanya biashara ya huduma za ngono hivyo kaza buti utakuja niambia mbeleni kwamba umefanikiwa. Cha msingi ni kwamba anazungumza,angekaa bubu hapo ingekuwa shughuli pevui