Nahirat
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 595
- 985
Mtumie huo ushauri wako whatsapp, atakachokujibu usisite kushare nasiYale matusi ni kwikwi ila angepunguzs angeeleweka zaidi
Hahaha!Sio hivyo ila kwenye mikono salama...
Mbio za sakafuni huishia ukingoni..Yale matusi ni kwikwi ila angepunguzs angeeleweka zaidi
Nina mashaka na utimam wakoNaona unampenda mwanamke mwenzio,
Huyo lazma umpende kwasababu ni mkojolewa mwenzio
Yes na mimi sijakosea nlichokiandikaUlicho kiona ni real. Usifikirie kwamba ni typing error.
#nakwenda_zimbabwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamfikii Lusinde wa mtera tena yeye anatukania mjengoni.Yale matusi ni kwikwi ila angepunguzs angeeleweka zaidi
Bas sawa utanionyeshaHahaha!Sio hivyo ila kwenye mikono salama...
ipo ina picha ya tundu lisu wewe itakua amekupiga BAN labda ulimchefua![]()
Ipi katika hizo A/c ndio yake Halisi au nsaidie kunipigia Screenshot ya Page yake
Hilo litafanyiwa kazi haraka kuliko upesi.
Jamani MANGE anajua Kumhudumia Abdala Kichwa wazi na Kukalia GOGO....![]()
Huyu mdada nampendaga tu yaani cjui ni kwanini
Long live mange kimambi