Ray waniache
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 737
- 507
- Thread starter
- #21
hahah
Sasa hivi amehamia kwenye App. Nenda Play Store na u-download App yake.Basi mm sionagi post zake sikuizi lakini siku za nyuma nilikuwa nkiziona kwasababu nilisha mfollow
Nashukuru ndo maana nlikuwa nashangaa nakuta eti A/c yake Inapost 100 nilikuwa na Doubt ila sasa nmeshaelewaHakuna account yake ya Insta hapo yake ni @mangekimambi_
Poa MkuuSasa hivi amehamia kwenye App. Nenda Play Store na u-download App yake.
ukiona ivyo ujue ushakula blockPost zake kwenye Instagram na Fb sizioni siku hizi ?

Mbona sijawahi hata kucomment kwenye post zake huwa nasoma tu kwaiyo inawezekana ikawa nimeblokiwa!!ukiona ivyo ujue ushakula block
ukileta ujinga tu
Naona unampenda mwanamke mwenzio,![]()
Huyu mdada nampendaga tu yaani cjui ni kwanini
Long live mange kimambi
Tiss![]()
Huyu mdada nampendaga tu yaani cjui ni kwanini
Long live mange kimambi
Mimi ndo kabisa i love her more everdayMe too I love u mange
instagram ndo yupo sana ok msearch utampataPost zake kwenye Instagram na Fb sizioni siku hizi ?
Kama wanaume wa mkoani uandishi wenu ndio huu basi wacha tupambane na hawahawa wa DarWanaume wa Dar kwa mala nyingine tena.
Muandiko umekuaje tena bi dada? Mwanaume mashine.Kama wanaume wa mkoani uandishi wenu ndio huu basi wacha tupambane na hawahawa wa Dar
Sent using Jamii Forums mobile app