Rev. masa kama kweli una maono utagundua kwamba asprin kilichomvutia juu ya huyu mumbaji kina utata ndani yake!
naogopa kufumba macho sina imani sana na ww mpwa!
Rev. masa kama kweli una maono utagundua kwamba Xpin kilichomvutia juu ya huyu mumbaji kina utata ndani yake!
naogopa kufumba macho sina imani sana na ww mpwa!
Huyu mdada amepitia milima na mabond e ambayo kwa hapa hadharani ni ngumu kuandika, lakini kwa ufupi ni kwamba tangia utoto wake ameishi kwa shida ambazo ni wachache wetu tunaoweza kuvumilia!
Lakini Mungu ana namna zake za kunyanyua watu!
Acha tu huyu dada afurahi, maana anamaanisha!..huh!