:confused2::confused2::help::eek2:People out there!
Can i tell you something?
Kuna vipaji hapa JF!...Believe me hii video ni ya member wetu hapa!
Chukua kama dakika 6 hv uisikilize, hasa ujumbe wake, its amazing!
Hebu ngoja kwanza niusikilize tena halafu nikomenti kitu...
Huu wimbo jamnani mbona unanifanya hivi? Hivi mbona siku hizi siusikiagi tena ukipigwa? PJ hebu nambie, huyu mwimbaji kilimpata nini? Unamjua umesema, unaweza nipa kontakti zake.......Kwa mapenzi mema jamani jamani jamani!!

Kinachonifurahisha kwenye huo wimbo, huyo mwimbaji ni mzuri kama avatar yako.....Again kwa mapenzi mema jamani jamani jamani!mpwa nina mashaka na wewe toka lini ukapenda gospel!
Praise the Lord!...Aksante mchungaji...Naamini congregation yako itakuwa inabarikiwa sana na pia wanapata UWEPO wa nguvu za Kimungu kila wausikiapo!Huu ni miongoni mwa nyimbo Mchungaji lazima ziimbwe kanisani kwangu! Kanisa na waumini hubarikiwa sana kabla sijaanza kukimbiza mapepo! Mpangilio wa maneno yenye hekima na utukufu.
"Si kwa utashi wangu,ila hakika ni kwa upendo wako, si kwa hekima zangu bali utashi wako, bali kwa uweza wako" baadhi ya maneno! Hakika huyu dada amebarikiwa sana aendelee kumsifu Mungu.
Hata niwapo kwenye safari ndefu kweny highway huu wimbo humwongoza mchungaji
Hakika amefanya kazi ya Mungu
Mch Masa
Nasikia roho wa Mungu akinieleza kuwa nikikasikiliza haka kawimbo, kama waifu ni muumini wa infidelity ataacha mara moja! Sasa PJ acha kubana, tuma kontakti zake, nataka aje aniimbie kwenye birthday yangu hako kawimbo!Hivi unajua kwamba mimi ni mbunge wa upinzani kwenye ile kamati kuu ya NANIHII KULE( Ohh My God, naSHINDWA hata kutaja)... kule kwenye ..sijui Infidelity:becky:...
Kama una swali lolote kuhusu yeye niandikie swali lako, litasomwa kwake kama swali la NYONGEZA!:becky::becky:
Kinachonifurahisha kwenye huo wimbo, huyo mwimbaji ni mzuri kama avatar yako.....Again kwa mapenzi mema jamani jamani jamani!
Huu ni miongoni mwa nyimbo Mchungaji lazima ziimbwe kanisani kwangu! Kanisa na waumini hubarikiwa sana kabla sijaanza kukimbiza mapepo! Mpangilio wa maneno yenye hekima na utukufu.
"Si kwa utashi wangu,ila hakika ni kwa upendo wako, si kwa hekima zangu bali utashi wako, bali kwa uweza wako" baadhi ya maneno! Hakika huyu dada amebarikiwa sana aendelee kumsifu Mungu.
Hata niwapo kwenye safari ndefu kweny highway huu wimbo humwongoza mchungaji
Hakika amefanya kazi ya Mungu
Mch Masa
LOL,mpwa umeingia choo cha walemavu angalia vizuri,umekosea jukwaa nini!