Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,684
- Thread starter
-
- #61
wewe E wa T,
Inabidi nikutafute wewe.........yani hii kitu mimi ndo basi tena............Uzuri ni kwamba I can afford my dreams, my dreams are realities......
Kuna mandoto ya watu nimeyaona humu...........kudadeki yatabaki ndoto milele!!
oooh my God, yani hii ndo gari of my dream, ila iwe black. nazichanga very soon ntalimiliki ila wabongo utasikia kahongwa yule awezi miliki lile gari.Jamani maradhi yangu haya hapa......lazima nichune mtu aninunulie hii kitu, so kaa chonjo lol
Lakini uwe makini na Morogoro road.........malori yakikuotea utakuwa huna gari tena hapo.......oooh my God, yani hii ndo gari of my dream, ila iwe black. nazichanga very soon ntalimiliki ila wabongo utasikia kahongwa yule awezi miliki lile gari.
oooh my God, yani hii ndo gari of my dream, ila iwe black. nazichanga very soon ntalimiliki ila wabongo utasikia kahongwa yule awezi miliki lile gari.
yani watu sijui wasemeje ili wanizuie mimi kulinunua hilo gari, lazima nilinunue tu mungu anisaidie, i can't wait to drive ths car.sasa shida ni nini?wewe zichange achana na mamneno ya watu bana
yani kama ulikuwepo mana naishi uko uko morogoro road, Loh mungu anilinde na gari langu wasinifanyie ubaya. we fungua tu mana spare hazikwepeki.Lakini uwe makini na Morogoro road.........malori yakikuotea utakuwa huna gari tena hapo.......
anyway, nafungua duka la spare basi, utakuwa mteja wangu.............
Au na mimi hilo duka la spare za hii makitu liwe dream yangu nini?
hahahahaa!!yani kama ulikuwepo mana naishi uko uko morogoro road, Loh mungu anilinde na gari langu wasinifanyie ubaya. we fungua tu mana spare hazikwepeki.
hiyo road clearance mkuu........ni kama 1cm hivi!........kwa barabara zipi? hata huko kwao bado ni issue!!
Ewaaaaaaaaaa
Ewaaaaaaaaaa
Bigirita hommie ubarikiwe sana!
This is the ride of my dreams!
Preta nataka nikupe bata siku mojajamani sasa hii kwa suala zima la kula bata inakuwaje.....?
au nyie full kazi kazi....
Preta nataka nikupe bata siku moja
Hapa vipi Afrodenzi?
dah sasa mie mwenye Vitz..naona hata aibu
Mimi yangu hii inanitosha sihitaji Diesel wala Petroli...