I love my wife

I love my wife

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
try.jpg hiindo familia yenye raha nahisi
 
Mpo juu ya teremka tukaze sio...
 
huyo hapo juu anataka mtoto wa 4, hakuna mapenzi hapo ni yeye tu kujiridhisha na dushe lake!

umeona mwanamke alivokunja ndita, au watasema flash ya kamera imemuumiza macho heheheeee halafu hata hilo pose ni la kupangwa maana naona hata kulala kwake hayuko comfortable. Walw watoto kule nyuma hawana connection na picha kabisa aidha wanagombana au wanacheza baba peke yake ndo amefurahi na hako katoto kadogo ka kike kanakimbilia nono kamezuiliwa ili picha ipigwe, raha ni asili na si ya kupose, waweza kuta baada ya hapo mama anamakazi kibao yanamsubiri halafu nyie mnamchelewesha na picha zenu heheheeee kaazi kweli kweli looh
 
Hahahaaa... life is what you make it, yaani hadi wametoa nje their most expensive bed ili wapigie picha..
 
ukipata mwanamke kama huyo lazima uwe na msuli na pumzi, out of that.......ntarudi tena!
Kama umezoea kula chips mayai na michemsho huyo humuwezi ndugu yangu!!
cvc: saudari sosoliso
 
Last edited by a moderator:

saa kule kwetu si wavuvii ungali mkubwa na mafisi yani full afya
 
umeona mwanamke alivokunja ndita, au watasema flash ya kamera imemuumiza macho heheheeee halafu hata hilo pose ni la kupangwa maana naona hata kulala kwake hayuko comfortable. Walw watoto kule nyuma hawana connection na picha kabisa aidha wanagombana au wanacheza baba peke yake ndo amefurahi na hako katoto kadogo ka kike kanakimbilia nono kamezuiliwa ili picha ipigwe, raha ni asili na si ya kupose, waweza kuta baada ya hapo mama anamakazi kibao yanamsubiri halafu nyie mnamchelewesha na picha zenu heheheeee kaazi kweli kweli looh
huyu ni mke jembe,apo ametoka shamba,kabeba kuni..bado anaenda na punda kuchukua maji
 
ukipata mwanamke kama huyo lazima uwe na msuli na pumzi, out of that.......ntarudi tena!
Kama umezoea kula chips mayai na michemsho huyo humuwezi ndugu yangu!!
cvc: saudari sosoliso

Mpwa Elli mie siwawezi hao.. Nguvu zangu zinazidi kumong'onyoka shida sitaki mie.. saudari ndo anaziwezea hizi maana nimemuona mahali anapiga tizi la kufa mtu..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom