mimi huwa naamini sifa kuu ya mwanaume ni kuwa na busara na hekima/wisdom.napenda mwanaume anaeishi kiume.
sidhani kama mwanaume ambae ana busara anaweza kuwa tu anachatichati na maledies ovyo khaaa????
Ukutane na mvivu kama mimikuna lijamaa bwana nikalipa no yangu kiukweli nilikuwa namuheshimu sana ila siku hzi ni adui yangu no moja kisa nilikataa kuchati nae.yeye ni mume wa mtu
usiku anataka tuchati eti oooh nina sms 200 nataka ziishe nimeweka kwa ajili yako. mimi ni wa sms 200 mimi?yule jamaa kiukweli nilimdharau sana eti anadai anapenda sana kuchati na maledies,mkuu dunia ina mambo hii.yaani nilijuta kumpa no yangu
kuna watu wanaona simu ndo maisha mimi nikikupa no yangu utanichukia milele.sifagilii simu sana nipo selective sana kwenye watu wakuongea nao especially mida ya kupumzika.Halafu chating za usiku au baada ya kazi au darasani wakati una mke anakuangalia tuu ulivyo busy na simu
Yeye hata nafasi ya kuongea na wewe hana
Mmeshindfa mchana kutwa bila kuonana na ule muda anaopaswa awe na wewe uko busy na kisimu unachat na kuongea
Mimi nikifika home huwa sihanagaiki na kuzima simu naiweka mahali ambapo sitaikumbuka na hata marafiki na wafanyakazi wanajua muda wa kutuma ujumbe wao au kuchat na mimi
Nikishafika home simu na mimi ni mbalimbali ni muda wa kuwa na wife na watoto
Biashara ya kuambiwa aise lile file liko wapi baada ya muda wa kazi huwa halipo
Hahahaha
Ku kiss na kuitana darling tena? wanawake wenyewe hawa wa siku hizi si akikikita kisimu cha mchina na hizo msg anakichovya kwenye ndoo ya maji!
Anyways najaribu kuwabunguza hawa buddies lakini ita take time kidogo for the time being coz alinikuta na hawa watu itabidi awe mpole wakati wanapungua kidogo kidogo. Roma haikujengwa siku moja
ahahaa mkuu saa tatu za usiku au?Ukutane na mvivu kama mimi
Ukituma sms sitaijibu ila huwa naona kumaliza jambo nakupigia tuongee
Zile sms mia mbili siku nyingine nazipata saa tatu
Sasa mimi nitazitumia wapi
kuna watu wanaona simu ndo maisha mimi nikikupa no yangu utanichukia milele.sifagilii simu sana nipo selective sana kwenye watu wakuongea nao especially mida ya kupumzika.
ahahaa mkuu saa tatu za usiku au?
ahahaaa hii mitandao kiboko. hizo offer wawape vijana watongozeeSaa tatu ndo may be nimetuma zile sms zao kumi na wananiambia eti umepata sms 200 za kutumia mpaka saa tano za usiku
Sasa mimi sms mia mbili nitazitumia wapi muda huo
haitotokea aise
Kuna mazingira ambayo huruhusiwi kuyavuta kwa upande wako
na moja ya hayo ni kuwa makini katika matendo na maneno
Maana ukijiponza kufanya hayo iko siku utatamani kufanya kile ambacho huwa unamuita kwa mfano kama umezoea kumuita darling utatafuta namna ya kutimiza lengo la yeye kuwa darling wa pembeni na ni sumu snaa
Rocky,
Hizi ni changamoto za kimaendeleo zinaitwa, huu ulimwengu wa BB,fb,Hi5,Msn nk umefanya mawasiliano yamekuwa rahisi sasa kwetu wengine inakuwa changamoto.
Lakini mtu kuandika msg akasema"mambo vp dear" sioni kama ina tatizo unless atumie neno ambalo huwa mnaitana na mpenzi wako hahahaha hapo patachimbika
ahahaaa hii mitandao kiboko. hizo offer wawape vijana watongozee
mimi huwa naamini sifa kuu ya mwanaume ni kuwa na busara na hekima/wisdom.napenda mwanaume anaeishi kiume.
sidhani kama mwanaume ambae ana busara anaweza kuwa tu anachatichati na maledies ovyo khaaa????
R' I see you see what I see.....
ndo maana nakulike mkuuYeah
Ila sitakubali na haitotokea
mambo ya ofsn yanabaki huko huko na hayana nafasi ninapofikia kuwa na wife na watoto
Huwa nakuna baba na mume kweli
Na hilo huwa nasisitiza sana na hata wao wanajua
Rocky,
Hizi ni changamoto za kimaendeleo zinaitwa, huu ulimwengu wa BB,fb,Hi5,Msn nk umefanya mawasiliano yamekuwa rahisi sasa kwetu wengine inakuwa changamoto.
Lakini mtu kuandika msg akasema"mambo vp dear" sioni kama ina tatizo unless atumie neno ambalo huwa mnaitana na mpenzi wako hahahaha hapo patachimbika
Jamani habari,
Mie ni kijana mwenzenu nipo kwenye ndoa mwaka wa 2 sasa , lakini sometimes nashindwa kumuelewa wifi yenu/shemeji yenu sijui tatizo ni nini.
Mimi nina bahati mbaya moja kwenye maisha yangu kwamba watu hutokea kuwa karibu na mimi iwe darasani, kazini etc popote ambapo nakaa muda mrefu na watu basi huwa najenga ukaribu japokuwa mimi mwenyewe sijichukulii kama "down to earth" sana na pombe sinywi. (Ila honestly huwa nakuwa close na ladies mara nyingi as
friends)
Problem ni wife hataki kabisa niwe na mahusiano ya karibu na jinsia ya kike yani awe colleague wa kazini au ofisi yangu ya zamani au evening class au whatever. Napata wakati mgumu coz hata wakipiga simu inabidi nianze ku explain "who is this " , "why she is calling" ,etc na kama ni new friend na ni binti basi kasheshe kabisa.
Wenzangu mna handle vipi hizi situation coz as the days go by she is becoming more and more possessive na inaweza kunifanya nitengwe na jamii inayonizunguka and she thinks she is doing the right thing.
by the way wanachati nini? wakipigwa mizinga wanaanza kulia. dawa yao ni kuwapiga mizinga tu naona,dear nitumie laki mbili kwa mpesa jamani tommorow is my birthday love youuuu.atacheua kweli hapo?IMO Kid sis hata wanaume busara fall in Love and Love chatting.... Sema kua mwanaume alo committed katika relationship iwe a serious galfriend ama mke na ana busara hutegemei ata chat ovyo ovyo na mabinti.
ndo maana nakulike mkuu
napenda sana mwanaume ambae yupo natural
i wish wa kwangu awe ivo?
kweli sis hata maandiko yanasema ndoa na iheshimiwe na watu woteMaundumula a person who is your dear ina maana mpo close.... Na hata kama ni mwanamke kakutumia message ya mambo dear mida mibovu uko na mkeo wakati hakutakii mema sababu nakuambia sie wanawake twajijiua na twaelewana. Huyo alotuma message kwako na kukuambia "mambo dear" akikuta the same message kwa mpenzi wake imetoka kwa mwanamke mwingine believe me you HATOPENDA; Anaweza asiongee lakini at the end of the day Hatopenda!
KWA NINI??
Mwanamke yeyote yule ambae sio mpenzi wako mkizoeana saana it is OK.... But in the long run mawazo ya Mapenzi ni lazima yatakuja kati ya hao wawili.... hasa kama wamezoeana, they understand each other, they blend na enjoy each other's company. Kuepusha hilo it is better kutojenga hayo kama tayari upo committed.... unless otherwise in the Long run mtake ku cheat will be inevitable for it is nature. Hivo in other words kama kweli hua wachat nao saa zote... it is bound to be flirting.... na one of the rule ya Flirtin if you are not serious..... Usiflirt na mtu mwaonana mara kwa mara ama mwashinda woote.... DANGEROUS!