I love my best friend's sister

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,402
3,242
Umewahi kuwa narafiki yako wakaribu mno mnaye share nae mambo kibao(best friend)? mmekuwa pamoja,sekondari, chuo pamoja...anakujua mwanzo mwisho, viwanja vyako vyote na fujo zote nk

But here comes, alilazwa nikawa naenda kumcheck daily hospital na hapo ndipo nilioanza kumjua sister wake alikua anaishi Arusha kwa kwa mama yake, alikuwa anamleta chakula kila siku, she is so hot, cute.

At the begining ilikuwa sister kweli lakini taratibu tukaanza kujenga kakitu.........namtamani na yeye pia amenidondokea kimtindo, simu haziishi, sms usiseme tena za kiuchokozi.........I cant stop thinking about her

Mshikaji amepona sister haishi simu na sms,ofkozi hata mimi napiga na sms kwa sana tu lakini mshikaji hajui kinachoendelea

Aliniomba mchango wa birthday ya rafiki yake nikampa na sasa amekomalia jumamosi ijayo twende wote kwenye sherehe hiyo kigamboni.......amesisitiza kweli nisimuangushe, najua lazima nitaharibu tu
Natamani kumwambia najua na yeye anataka kusikia hivyo lakini kila nikimfikiria mshkaji nguvu yote inaniishia

MAONI YAKO MUHIMU
 
love has no boundaries... follow your heart

err, yeah it has, inaitwa relationships (yaani ndugu zako, rafiki zako, etc)

hamna kitu kibaya kama kumpenda dadake na rafiki yako especially kama mko close ki hivo unavyosema. think about it, ukija ukabreak up na huyu mdogo wake na mtu or u hurt her, unafikiri kakake, your friend atakuelewaje?? kama ni kupenda utampenda wengi tu, stay away from ur friends sister kama kweli unadhamini urafiki wake, t can only end badly
 
assess yourself critically. jiulize maswali haya
a) nikitugani kinachonifanya nimpende?
b)kwa tabia zangu ambazo ma friend anazijua je hazitaniharibia pozi katika mahusano haya?
c) je ingekuwa ni dada yangu mimi na kwa jinsi nimjuavyo rafiki yangu je ningemkubalia wawe na mahusiano?
d) je nini hatma ya urafiki kati yangu na huyu rafiki yangu? niko tayari kuuvunja au uendelee?
e) kama ninataka uendelee na wakati namtaka na dada yake nitafanyaje ili usife?

Nijibu haya kwanza kisha nitakuja kwako na ushauri.
 
Unaweza poteza rafiki kuna wengine hawapendi kabisa dadazao kufanya urafiki na marafiki zao ikizingatia mnajuans mienendo yenu
 
Hivi huyo rafiki yako anahusikaje kwenye suala la wewe kuchagua mpenz
 
Mkiweza kutengeneza best couple,urafiki utadumu zaidi,na mkioana itakuwa best sana kwenu wote wa 3...
Ila ukimchezea na kumuacha........umepoteza rafiki maishani!
 
Mpelekee moto tu
Umewahi kuwa narafiki yako wakaribu mno mnaye share nae mambo kibao(best friend)? mmekuwa pamoja,sekondari, chuo pamoja...anakujua mwanzo mwisho, viwanja vyako vyote na fujo zote nk

But here comes, alilazwa nikawa naenda kumcheck daily hospital na hapo ndipo nilioanza kumjua sister wake alikua anaishi Arusha kwa kwa mama yake, alikuwa anamleta chakula kila siku, she is so hot, cute.

At the begining ilikuwa sister kweli lakini taratibu tukaanza kujenga kakitu.........namtamani na yeye pia amenidondokea kimtindo, simu haziishi, sms usiseme tena za kiuchokozi.........I cant stop thinking about her

Mshikaji amepona sister haishi simu na sms,ofkozi hata mimi napiga na sms kwa sana tu lakini mshikaji hajui kinachoendelea

Aliniomba mchango wa birthday ya rafiki yake nikampa na sasa amekomalia jumamosi ijayo twende wote kwenye sherehe hiyo kigamboni.......amesisitiza kweli nisimuangushe, najua lazima nitaharibu tu
Natamani kumwambia najua na yeye anataka kusikia hivyo lakini kila nikimfikiria mshkaji nguvu yote inaniishia

MAONI YAKO MUHIMU
 
mapenzi yananafasi kubwa sana kwenye moyo kuliko urafiki wa kawaida kama unampenda kweli mchukue!!!
 
Not a good idea at all! Mkimbie kabisaaa! Nimepoteza best friend kwa njia hii. He was a great friend, wa shida na raha! Akampenda mdogo wangu na kuniambia kistaarabu. They dated 4 yrs. Lakini hawakuwa na furaha. He was insecure, wakitofautiana kidogo tu anauliza 'King' anasemaje? Did u tell her?' In the end my young sis was very unhappy but the guy wanted to marry her (nahisi kulinda urafiki). Mwisho waliachana, na urafiki wetu ulipungua sana. Hata harusi ya jamaa nilichanga ila kadi sikupewa!

I beg u! Don't do that! Nenda na rafiki yako kwenye besdei (how old ar u lakini? Mnachangishana besdei bash?)
 
Kwanza unahitaji muda wa kumsoma kama unataka kumuoa, lakini changamoto ni huo muda utaupaje wakati unataka kuuficha urafiki wenu? Kwasasa hujamjua vizuri kama mnamatch au la, so usikurupuke. Lakini kama huna wazo la kumuoa acha kabisa uhusiano huo, utakosa yote...
 
I m little bit confused here.......... hebu ngoja nirudie tena kusoma maoni yenu
 
err, yeah it has, inaitwa relationships (yaani ndugu zako, rafiki zako, etc)

hamna kitu kibaya kama kumpenda dadake na rafiki yako especially kama mko close ki hivo unavyosema. think about it, ukija ukabreak up na huyu mdogo wake na mtu or u hurt her, unafikiri kakake, your friend atakuelewaje?? kama ni kupenda utampenda wengi tu, stay away from ur friends sister kama kweli unadhamini urafiki wake, t can only end badly

Not a good idea at all! Mkimbie kabisaaa! Nimepoteza best friend kwa njia hii. He was a great friend, wa shida na raha! Akampenda mdogo wangu na kuniambia kistaarabu. They dated 4 yrs. Lakini hawakuwa na furaha. He was insecure, wakitofautiana kidogo tu anauliza 'King' anasemaje? Did u tell her?' In the end my young sis was very unhappy but the guy wanted to marry her (nahisi kulinda urafiki). Mwisho waliachana, na urafiki wetu ulipungua sana. Hata harusi ya jamaa nilichanga ila kadi sikupewa!

I beg u! Don't do that! Nenda na rafiki yako kwenye besdei (how old ar u lakini? Mnachangishana besdei bash?)

Wakuu maneno yenu yamenigusa sana.......I cant afford to lose my friend
Lakini pia I cant ignore the fact im in love with her sister

Nafikiri ni bora kumpotezea ingawa najua i will let her down.................thats life
 
This is the way gentlemen think about and agree on the truth. Big up man for this true colour decision of a gentleman. I have stopped for a minute to write my PhD manuscript to congratulate you for this wise decision. Make her a friend of you too.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom