I love my best friend's sister

assess yourself critically. jiulize maswali haya
a) nikitugani kinachonifanya nimpende?
Mkuu mapenzi haya tafsiri.......

b)kwa tabia zangu ambazo ma friend anazijua je hazitaniharibia pozi katika mahusano haya?
.
Hapa ndipo penye utata, tabia zetu zinafanana sana na mshkaji, kona zote tupo pamoja
c) je ingekuwa ni dada yangu mimi na kwa jinsi nimjuavyo rafiki yangu je ningemkubalia wawe na mahusiano?
Binafsi nahisi ninge mind..........thats why naoma maoni yenu maana watu tunatofautiana bana
d) je nini hatma ya urafiki kati yangu na huyu rafiki yangu? niko tayari kuuvunja au uendelee?
e)
Nope sipo tayari......lakini kwani kumpenda dada yake ni kuvunja uhusiano?
e) kama ninataka uendelee na wakati namtaka na dada yake nitafanyaje ili usife?

Nijibu haya kwanza kisha nitakuja kwako na ushauri.
Hapa ndio pana nitatiza ndio maana naomba ushauri mkuu
 
Mwambie kweli kaka ake kabla hujamkubalia binti ukiona hajarespond vizuri usiendelee na uhusiano ila umuahidi kubadilika usiizulumu nafsi
 
love has no boundaries... follow your heart

Ila kuna kitu kimoja hapa. Either uuimarishe u-best friendship wako na mchizi or Uuharibu. I mean,
Kama ni kicheche na unamtaka then itabidi uoe kabisa hapo mchizi hawezi mind, ila ukiingia then utake kutoka asee hiyo hatari. Eniwei kama huna future naye then ur best friend is more important.
 
paulss achana na watu wanaongea nini! at the end of the day ni wewe na yeye! if u love her kiukweli, then go after her, fight for her!
 
Last edited by a moderator:
hapa inamaana madudu yenu wote mnajuana. Kama yeye ni bst friend wako basi dadake atakuwa dadiyo . hapo nikumpotezea tu huyo dada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom