Duh. . shem m bado nakomaa na ktabu
sawa shem we endeleza mashambulizi kipande hiyo but, kama ukijisikia kunifia kimahaba just let me know, badala ya kufungua thread kama huyu mlolongo unakua mrefu, its a little bit weird to us but some of us do understand that you also have feelings,
Kwa kweli sina uwezo wa kujua nini anacho na nini hana. Huo ni mmoja wa mifano tu ambao dada anaweza kuchagua. Badala ya gari unaweza weka baisikeli, pikipiki nk. Ila nafurahi kututaarifu kuwa analo gari. One day labda tutapata lift. Pia kwa ndani ya moyo wangu, kweli nilifikiri kuwa kwa wana JF wengi, kuwa na gari sio big deal sana. Inawezekana nakosea. Cheers
Habari zenu Guys, miss u so much.
Natumaini wote mko poa.
Jamani mwenzenu nimempenda Mkaka, mbaya zaidi tupo ofisi moja kila ninapomuona nashindwa kufanya kazi, natamani ajue lakini tunaheshimiana sana.
I don't know what to do.
I am in love.
you want casual or some attachment..
Casual lol Attachment on my foot
Habari zenu Guys, miss u so much.
Natumaini wote mko poa.
Jamani mwenzenu nimempenda Mkaka, mbaya zaidi tupo ofisi moja kila ninapomuona nashindwa kufanya kazi, natamani ajue lakini tunaheshimiana sana.
I don't know what to do.
I am in love.
oops mie sina mwaya , i was kidding tu ndo maana nikacheka
Nataka nipitishe mchango JF mnichangie maana maharusi mnachanga wewe nichangieni bathi na mie
I know u.
you know me ,you know me what ..Kuna shida kwani ukinijua??
you know me ,you know me what ..Kuna shida kwani ukinijua??
punguza hasira mamii, you have a beautiful name, dont let control you!
ok sweet friend?....
Mkuu unajipendekeza sana kwa mademu..
aisee sikujua hili..
when did you notice this?