I love her madly. Why she acting this way?

unataka kuniambia hulka na tabia za mtu wa miaka 18-25 ni sawa na za mtu wa miaka 30-40?

ujana ujana na utoto utoto mwingi ni changamoto
Mkuu, hao viumbe kila mmoja huwa na akili na uelewa wake haijalishi umri ndg, yuko ambaye namfahamu ana 36 lakini mambo yake ni zaidi ya mtoto wa miaka 18
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…