I love her but...

pitamozes

Member
Joined
Jun 10, 2013
Posts
28
Reaction score
2
mazee, mwenzenu kuna kabint nakalove ile kinomanoma! kenyewe kwa sasa kapo dsm n mm nipo dom bt i will be there soon. kenyewe kanajua kama nakapenda bt hakataki hata kutoa chance ili 2meet. plz advice me what 2do?
 
Jela inakuita wewe!
 
kwa hiyo sisi ndio hako kabinti au? kama vipi kipotezee komaa na midemu yenu ya dom..
 
Nenda kwa Kalumanzira ukasafishe nyota
 
vip mlivyorekebishiwa matokeo ya form 4,bado umefeli au umefaulu?
 
Hako kabinti kanajua kwamba wewe ni mzizi maarufu hapo mtaani?
 
Ka vipi zama home kwao mueleza hata maza kuwa mtoto wake hasomeki.....
 
daaa unavyo andika. kweli ndio maana matokeo yamebadilishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…