SECONDLADY
Member
- Dec 22, 2013
- 14
- 12
Kwanza kabisa niseme am new to JF and this is my first post.
Najua kwa jinsi nilivyokuwa nikifuatilia post za hapa kabla ya kujiunga rasmi, kwa nature ya post yangu kuna watakaonishambulia sana, plz dont do that. Kama una la kunishauri its ok, kama huna pita tuu coz, matusi hayatasaidia kitu.
Mimi ni mwanamke umri wangu miaka 26. Baba ni marehemu, tumebaki na mama tuu na kaka na wadogo zangu. Mama hana kazi ya maana ni house wife. Na ndugu zangu pia wengi ni kujishikiza tuu hakuna ajira iliyo ya uhakika. Mara baada ya kumaliza kidato cha nne nilianza mahusiano na kaka mmoja ambaye alikuwa mfanya biashara na hatimaye nikapata ujauzito wake, hivi ninavyozungumza nina mtoto wa kiume umri miaka 6. Huyo mpenzi wangu alinifanyia visa vingi sana ikiwa ni pamoja na kunifanyia mambo ya ushirikina kiasi kwamba nilihamia kwake bila hata ya ndoa rasmi, na kila ndugu zangu wakija wakiniambia kitu nilikuwa nawaona hawana maana. Ikafika hatua huyu bwana akawa ananisaliti lakini hata sikufanya lolote, ndugu wanakuja kunitaka niachane naye lakini nikawa nawadharau.
Mwisho wa yote, mama akaja na mchungaji na viongozi wa kanisa wakaniombea wakati bwana wangu hayupo ndo akili ikanirudia, nikatafakari maisha ninayoishi. Nikaamua kurudi kwetu. Mama yangu akafurahi sana na ikawa mwisho wa mahusiano yangu na huyu bwana, japo alinidhulumu mpaka hela zangu lakini sikuona thamani ya hiyo hela kuliko ukatili aliokuwa ananitendea.
Nikiwa nyumbani kwa mama, nilikaa muda mrefu bila kupata mwanaume wa kunioa, kama mjuavyo sisi akina dada tuliozaa basi kuolewa inakuwa tabu siku hizi. Nikaamua kuwa sihitaji kuwa na mwanaume. Wakawa wanakuja wanaume ambao kimsingi sio waoaji, bali wanaotaka mechi tuu. Siku moja nikiwa kwenye basi Ubungo terminal naenda mkoani nikakutana na kijana fulani ambaye namfahamu kiasi. Ameoa na ana familia (mke na watoto). Tukasalimiana na kufahamiana kwani alikuwa ananifahamu kwa sura lakini hata jina langu alikuwa hajashika sana. Kilichofanya nimfahamu haraka ni kuwa tunaonana kanisani na mama yangu huwa anampenda sana yule kijana, yaani kila tukienda church lazima mama akamsalimie yule kaka na kumwambia karibu nyumbani. Kuna wakati tulipatwa na matatizo fulani yule kaka akawa anakuja kutusalimia na kumfariji sana mama na kuomba nasi.
Basi tukiwa hapo ubungo tukapeana namba za simu na mimi nikaanza safari. Jioni alinipigia simu kunijulia hali kama nimefika salama. Baada ya hapo ikawa sms za kawaida, mara ikawa za kuforwadiana, zikawa za jokes, etc. Siku moja na yeye akiwa safarini tukatumiana sms za usiku mwema, then akaniambia "karibu tulale wote.."
In short nikiwa katika hali ya ukame wa mombasa raha kwa muda mrefu, nafsi yangu ghafla ikamzimikia yule kaka nikajikuta katika msisimko wa hali ya juuu. From there nikajikuta katika dimbwi la mapenzi na mume wa mtu.
Umri wake ni 30s, ana kazi nzuri, mrefu mweupe si mwembamba wala si mnene sana. Really handsome. Huyu kaka anajua kufanya mapenzi sijawahi ona hapa duniani. Bwana wangu wa zamani alikuwa hajui hata kunifikisha kileleni, lakini huyu mume wa mtu dah!!! He can run the game for about 40-50 minutes. Na nikiamua kuspend usiku mzima na yeye anaweza kunipeleka hata round tano in a night na zote akahakikisha mimi nafika kwanza kileleni then ndo yeye afuate. Kufuatia hali hiyo nimejikuta nachukia wanaume wengine wote wanaonifuata fuata, i see them as rabbish.
Kilichonileta hapa jukwaani ni kwamba niko njia panda. Najua sina future na huyu mume wa mtu, na wala simsumbui sana japo ananisaidia sana katika mambo yangu. Hataki tuachane. Kila tunapokutana, ikifika muda wa kuagana huwa analia machozi, hataki tuachane. Nilivyoona hali hii inajirudia mara kwa mara nikamdadisi sana. Akiwa anatokwa na machozi akanisimulia maswahibu anayoyapata kwa mkewe. Ameniambia hawezi kumuacha mkewe kwa sababu ni ndoa iliyofungwa kanisani na kwa misingi ya kikristo haiwezekani kuachana, na pia kwa maslahi ya watoto hataki watoto wake wateseke kwa malezi ya mzazi mmoja. Kwa hiyo yuko kwenye ndoa kama kuzuga tuu. kwa sababu za kimsingi naomba nisiziweke hapa sababu hizo. Ila kama ni kweli anachosema, basi hakuna ndoa pale.
Mwanaume amechanganyikiwa na penzi langu na hataki kitu kinachoitwa kuachana na mimi pia nampenda sana. Naomba ushauri wenu jamani nifanyeje ili niwe na maisha yangu mimi kama mimi na niwe huru. Nifanyeje akili yangu ikubali kuachana na huyu mwanaume na nifanyeje ili na yeye akili yake akubali kuachana na mimi?
:frusty: