Basi nimepita tu mie,msalimie umbuje KOKUTONA.Bhuuuu....
Una bahati umekutana na mianaume mibweg.e Mie mme wa mtu na sichuniki kivile. Nakugegeda na hela yangu utaisikia tu. Hongera unakutana na midume mibweg.ee K zilivojaa hapa mjini, we chuna tu huko Temeke.... Tuliozaliwa hapo Ocean Road utatusikizia Chuda tumetekwa na watoto wa kitanga...
KOKUTONA Na Ennie msije hili jukwaa la wakubwa
Fidel80 kwa ajili ya kumbukumbu ya chama.
Sijui kwanini waume za watu huwa tunapendwa sana na hawa wadada walioumizwa na wavulana. Yani sielewi kabisa.
Mhhhhhhhhh!
Nikiwa kama EXPERT WA WAUME ZA WATU, SHOSTI PO UMEUMIA NA UNAPIGWA CHANGA LA MACHO!!!!!!!! Hakuna cha kumuacha mkewwala upuuzi! Dudu hio ndo inamfanya aseme yote hayo na kutaka uendelee kumge mambo ya kikubwa bureeee kwa kumhurumia. Mwanaume anaweza hata kumtukana mzazi wake kama ndo utakacho ili utoe mambo hayo!
Hapo mapen hamna usanii tu wa kupeana mbo adimu baaaaaaas! We usijibwteke MCHUNEEEE UNYOOSHE MAMBO YAKO MSTARI AFU MWACHE AKAFIE MBELE HUKO! Hata dakika oja usisahau ANAKUTUMIA! Sasa UNATUMIKA VIPI JUU YAKO! We mtu mzima.
Mche unaoufanya wa KUTAKA KUJIBINAFSISHIA MUME WA MWENZIO JUMLA JUMLA SIO ISHU KABISAA! Kudokoa inaruhusiwa ila kukwangua ukoko kwenye sufuria ni kumbeep mpishi!
Mume wa mtu ukimpata jivinjari! Hana mpango na wewe jivinjari, anakudanganya jivinjari!!!!!!!!!!
Wachumba wanatoa k kimachale, wanataka fedha na kutafuta ndoa kwa kutumia k zao kwa wachumba zao vijana; wanawake za watu silaha yao kubwa ni kutoa k kiroho mbaya kwa vijana wasiooa maana nao wana UH; Usisahau mwanaume yeyote anahitaji k k kiroho mbaya isiyo na masharti. Wasichana wanatoa k kiroho mbaya kwa Waume za watu kwa vile wana uh na wanataka kuwaATM (afterall haoni ni kwanini asiwe free maana hategemei huyu si muoaji). Wanawake walioolewa wanavurugu majumbani, wanajisahau, wanamahitaji mengi toka kwa waume zao kiasi dushe la waume zao halisimamiza; utulizo wa waliooa ni kwa Wasichana. Ukijua loop hii huwezi kushangaa.Alafu na wake za watu sijui kwanini tena wanawapenda vijana mabachela wenye rafiki zao wa kike ambao wanapendana tena na bado wanawaonea wivu
Mbona Slaa ana mchumba kazaa nae anaitwa Josephine na ni mke wa mtu, hatujaona mkikemea.
Nyekundu hii ni hatari sana maana mchungaji atammega tu!!! Hawa Wachungaji ni hatari sana.Duh ngumu! Pole sana mpenzi! Kwa akili ya kawaida apo wajidanganya!
Me nakupa option mbili;
1) We mtumie fanya mambo yako ya maana..nyumba ,biashara nk..
Hehehehe mi mbaya!) then umwache taratibu...umwambie mkewe amekuomba for the sake of the kids.
Yani taratibu tuu sio kurupu! Au umwambie umepima unangoma nae akapime heheheh ila goma kwenda nae🙂
2) mwelezee mchungaji ila usimtaje uyo kaka ye akuombee ingeneral af kuhusu mume wa mtu. Af kuwa na imani through kujijengea nia ya kuachana nae kimaukwelii..ila atlst uwe ushajiwekeza vizuri shost usijkute ndo umechezea Asernal miaka yote kwa mkopo...hehehe
nb; shit happens anyway!
goodluck
🙂
All lousy,cheating, foolish married men do that. Wenye akili kidogo huea wanasema ' I dont wanna talk about it' wanaishia hapo. Ila anaemsimanga mkewe ni mpuuzi tu na siku akidakwa atasema wewe ni kahaba na umemganda afu mkewe atamsamehe akijua ulimloga.
Ngoja kwanza, huyu mzinzi mwenzio bado anakujaga kufanya maombi na mama na kufariji? Manake hakawii 'kumfariji' hata mama. Chezeiya round 5?
kuna dada alikuwa jirani yangu, kamfumania mumewe gesti na mwanamke mwingine analia kweli kweli na sasa anasubiria kikao cha ndugu kwa suluh.kinachonifanya niandike hivi ni kwamba, huyo dada kabla hajaolewa, aliwahi tembea na mume wa mtu, na aliona sawa tu na alikuwa akiambiwa aache alikuwa haelewi.
na mume aliyenaye kwa sasa alimnyang'anya shogha yake kipenzi na mpaka leo hawaongei kwa ajili ya huyo bwana. alisahau kwamba cheater is always a cheater... so bi dada, huyo jamaa hata akifanikiwa kumuacha mkewe akakuoa wewe, ata-cheat na kwako wewe pia. au siku akipata mwingine, atakubwaga tu. usidanganyike na mgegedo unaopata kwa sasa, sio wako huyo