I just noticed that Julius Nyerere International Airport is not as busy as it used to be

Kwa kweli hata mimi nilipita pale 15th May napanda KLM, nilifika saa tatu usiku ila ile foleni ya kuingilia pale hakuna kabisa nilipita moja kwa moja na kwenda kucheck in, nilijiuliza nikadhani labda ni kwa siku ile tu!
Wapi iyo??
 
Kazi ni nini?

Mimi naweza kukwambia sifanyi kazi, nimeiacha hela yangu inifanyie kazi, utasemaje?
If you don't find a way to make money while you sleep, you will work until you die. Warren Buffett.
 
If you don't find a way to make money while you sleep, you will work until you die. Warren Buffett.
Ndo hapo sasa huyu mkalamba anahimiza watu wafanye kazi wakati watu washachukua paradigm shift.
 
nyumba wapi. Sisi wewe mnashea studio apartment na MMK? Wee subiri tu nakulia taiming utakapoenda kuchukua free food. Nasnatch iyo foodstump yako nakutokomea upande wa pili wa ghetto nakuwacha unalialia
Hahaaa,

Yellowman katikawimbo wake "Jamaica Nice" kuna sehemu alisema aliwaona "me haffe laugh, me haffe take it fi a joke".

Na miminaona nicheke tu, naona ni muendelezo wa matatizo yako ya kisaikolojia.

Labda nakupa therapy kujibizana nawe hapa.
 
Mkuu kwani ukija likizo na kuondoka kinakuathiri nini?
Kutakuwa na utofauti gani na enzi za jakaya?
 
Umeawaokoa mkuu
 
Kkkkkk dah! Kweli hali mbaya
Nalog off
 
Kkkkkk dah! Kweli hali mbaya
Nalog off
 
Kweli kaka,bora mtu uende Spain ukatumie hela yako na kuona beach nzuri kuliko kurudi Tanzania kuja kupata ugonjwa wa moyo….huku Bar zinaanza kuvunguliwa saa kumi jioni..,wanawake, wanaume wote wanavaa madira,hivi sasa ni tabu sana kujua nani mwanamke nani mwanamme,,...

kwasasa bora bakia huko huko uliko, kula maisha kaka
 
We have bombardieeeer(in Dr Mahiga's voice) and soon we espect Boeing Dreamliner 787-8
 
Diaspora wa kulilia 12.5 million
 
Umetisha bro
 
Hii nayo kali! Hilo la bar kufunguliwa saa kumi ni ukweli?
 
Hahahaha Kanzu ndio madira au? yani we ni chizii
 
Hii nayo kali! Hilo la bar kufunguliwa saa kumi ni ukweli?
Tena ukifungua kabula ya huo muda basi ujue unakula na askali wew pamoja na wateja wako...

TBL huko hali mbaya na hao ndo walipa kodi wazuri na tena kodi kubwa na malipo yanafanyika kwa uwazi sjaskia wadeni kuja kudai madeni kisa kodi imelipwa
 
I just noticed in couple of days that Julius Nyerere Internatinal Aiport is not as busy as we used to see in the past. Like today i only saw one International flight. May be someone can also probe.

Likewise Tz economy isn't as great as it used to be, people aren't as free to express their views as they used to be, government critics aren't as safe as they used to be, civil servants aren't as happy with their job as they used yo be, parliament isn't as influential as policy making institution as it used to be, and most importantly the government isn't as inclusive as it used to be....the list goes on and on. We don't know where we are as a country, let alone where we are heading!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…