I just lost my grand father.

Pole sana excellent.
Mtukuze Mungu kwa kumtunikia maisha marefu.
 
Kiongozi, pole wewe with your familly in general.
 
Pole sana mkuu.... R.I.P Babu
 
Rest in peace grandpa...tupo pamoja Excellent
 
Last edited by a moderator:
That was life well lived. Mzee amepumzika tu kwani his time has come on time.

I hope GOD will give daddy strenght, you will overcome.

My deep condolences to you our friend Excellent.
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana Excellent

may ur grandpa's soul rest in peace!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mungu akupe wepesi ktk kipindi hiki kigumu excellent
 
Pole sana mpendwa Mungu awe nawe katika kipindi hiki kigumu
 
Poleni sana Mungu awape nguvu na faraja kipindi hiki kigumu
 
Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe'RIP mzee.
 
Pole sana mtumishi wa Bwana Excellent kwa kuondokewa na Babu,
Pole sana wafiwa wote,
Pole sana Excellent kwa kuondokewa na rafiki yako (Babu),
..........Mungu awatie nguvu waombolezaji wote.

R.I.P Babu yake Excellent,
..............umetangulia tu, lakini siku moja tutaonana uso kwa uso.
 
Last edited by a moderator:
Mungu awafariji katika wakati huu mgumu...
 
I'm far from home,nimepokea texts za watu.
kweli amezeeka miaka 93 si kidogo but i just feel sorry for my daddy maana kwenye situation kama hizo hawezi kujicontrol.

Pole sana mkuu.. Mungu awe mfariji wenu mkuu katika kipindi hiki..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…