So sad!!
May God have mercy on their souls. Thousands of people who are innocent will be affected
mkuu kuna yule mwingine alikuwa anajiita JENI wa sinza sijui.. nadhani story yake ushaisikia..
yeye nae eti kwa vile ana kijungu kikubwa na uso wa mkorogo, basi anajitangaza eti kaambukiza UKIMWI watu wengi sana dar es salaam hii..
aisee kuna watu hawana elimu ya UKIMWI vizuri nadhani...
kama mtu ana UKIMWI, akizini na mtu mwingine mwenye maambukizi, kinachofanyika pale ni kwamba wanapeana maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI wote wawili!!! hakuna anaemkomoa mwenzie!
kumbuka wamba virusi vya ukimwi viko vya aina nyingi mno!! wewe unaweza kuwa na kirusi A mwenzako akawa na kirusi D!! hivyo mkikutana, wewe unapata A na mwenzio anapewa kirusi D!!
na pia inawezekana kabisa kwamba mtu ambae hana HIV akafanya ngono nzembe na mwenye virusi na bado akanusurika kuambukizwa virusi vya UKIMWI ambapo kilichomnusuru kinaweza kuwa ni kutokuwepo msuguano wakati wanafanya ngono, ama michubuko haikuwepo kati yao... nk!
ahsante..
facts facts there i wanted to say mbururaz wengi hawajui na ingekua kama ukimwi unaambukizwa kama pipi hakika generation ingekua imeshapotea
kabisa kabisa! watu wanalishwa matango pori live na wao bila kuhoji, wanameza!
ulimwi haupimwi kwa jicho la kushoto wala kulia...
sidhani kama kila aliyezini nae aliambukizwa HIV..
yeye alijuaje kwamba ameambukiza watu 324? alikuwa anawapima?
je kama yeye ndiye aliyekuwa anaongezewa maambukizi na watu wengine? tutajuaje sie?
HIV+ akikutana na HIV+ mwenzie, nini kinapatikana? ongezeko tu la Virus kwa wote wawili!
unless, aje hapa atueleze alijuaje kwamba aliozini nao walikuwa ni HIV- wote, hivyo yeye akawagawia virusivya ukimwi..
True, heading ilipaswa kuwa "I'm HIV positive and I've slept with 324 men".
kabisa kabisa! watu wanalishwa matango pori live na wao bila kuhoji, wanameza!
ulimwi haupimwi kwa jicho la kushoto wala kulia...
kafanya utafiti gani kweli hao yeye ndio amewambukiza?je kwenye hiyo idadi hakuna tayari walikua na ukimwi?
Bila kusahau wenye vibamia si rahisi kuwaambukiza
Story za kutunga ukimwi siyo Ebola
huo udadisi haswaa ndio niliomuuliza mleta uzi!!
kwenye mambo ya msingi, watu wanaleta utani...! utasemaje umemwambukiza wakati hukupima nae kabla na baada ya tendo?
Mimi kazi yangu ni ku-report nilichokiona. Hayo maswali ungemtafuta mhusika aliyefanya hii confession
umepanic bro!
Wewe ndio uko in denial.
ndo dar sehem gani hiyo? lolz!
kafanya utafiti gani kweli hao yeye ndio amewambukiza?je kwenye hiyo idadi hakuna tayari walikua na ukimwi?
Bila kusahau wenye vibamia si rahisi kuwaambukiza
Story za kutunga ukimwi siyo Ebola