I infected 324 men with HIV – Kabarak University student reveals!!!!

I infected 324 men with HIV – Kabarak University student reveals!!!!

AL SHARPTON

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
2,797
Reaction score
954

by Tutu Akinlabi

Additional reporting at DAILY POST: SHOCKER!!!! A UNIVERSITY Female Student Confesses to have infected more than 324 MEN in Nakuru with HIV … She targets 2000 before Year Ends!!!!!!!

A female student in Kenya has revealed that she has infected a total of 324 men with the Human Immunodeficiency Virus (HIV).

The HIV positive girl, who attends the Kabarak University in Nakuru, is said to have been infected by a man at a party.

The unnamed 19-year old is allegedly aiming to infect a total of 2000 men in revenge. According to reports:

The girl allegedly contacted Kenyan Scandals on Facebook and claimed she had something to confess.

After she was assured her identity was going to be protected (the Kenyan Daily Post, however, published a picture from her Facebook profile along with the article) she wrote: "Sep 22nd 2013 is a day I"ll never forget, we went clubbing in town and got drunk with some senior students then went back hostels for party round 2″.
She then explained that when she woke up, the morning after, she realized a boy called Javan had had sex with her while she was drunk.
"I only asked if he used a condom and he said yes, however when taking bath I noticed sperms down there, I wanted to commit suicide, I feared getting pregnant and HIV."
When she discovered she was HIV positive, the girl confronted Javan who insisted he was clean.
"I was so depressed and took alcohol to die, I even bought poison, the pain was just unbearable how was I gone face the world, I let my parents down, I gave up on the world and just wanted to end my life. My future had been ruined, somehow someone had to pay," the girl said.
"I accepted my fate and promised to make all men I come across suffer, I know I'm attractive and men both married and unmarried chase me left right and centre.
"I buried the good girl in me and became the bad girl, my goal was to infect as many as possible," she explained.
The girl then confessed she had already infected 324 men, 156 of which are students at the Kabarak University where she studies, the rest are married men, lecturers, lawyers, celebrities and politicians.
"Not a day passes without me having sex, mostly 4 people per day," she continued in her confession. "Your day is coming, you men destroyed my life and I will make you and your people pay for it"

​
 
Kipo cha kujfunza,
hasa kwenye masuala ya ulevi wa kupindukia!
Pole kwa unnamed beautful Kenyan lady!
You brought us a lesson!
 
Sasa ukipiga yale mahesabu yao ya huyu kamuambukiza huyu nk si idadi itakuwa balaaa.

Natabiri watamuua kabla hajatimiza lengo lake.
 
sidhani kama kila aliyezini nae aliambukizwa HIV..

yeye alijuaje kwamba ameambukiza watu 324? alikuwa anawapima?

je kama yeye ndiye aliyekuwa anaongezewa maambukizi na watu wengine? tutajuaje sie?

HIV+ akikutana na HIV+ mwenzie, nini kinapatikana? ongezeko tu la Virus kwa wote wawili!

unless, aje hapa atueleze alijuaje kwamba aliozini nao walikuwa ni HIV- wote, hivyo yeye akawagawia virusivya ukimwi..
 
Hamna lolooote! muhuni tu huyo, wee mtu wa klabu na kujirusha round 1 na 2 anajifanya eti alipogundua amekutana kimwili na huyo jamaa alitaka kujiua, kama pombe ilimfanya asijue chochote kilichoendelea mbona alijua ni nani alikutana nae kimwili?

Mtu mwenye nia ya dhati ya ku confess atasema amewaambukiza watu 324 na lengo lake ni 2000?
 
Afadhali yuko huko Nakuru na hajatia timu Dar.
Akija Dar atawapata wengi sana
 
Hamna lolooote! muhuni tu huyo, wee mtu wa klabu na kujirusha round 1 na 2 anajifanya eti alipogundua amekutana kimwili na huyo jamaa alitaka kujiua, kama pombe ilimfanya asijue chochote kilichoendelea mbona alijua ni nani alikutana nae kimwili?

Mtu mwenye nia ya dhati ya ku confess atasema amewaambukiza watu 324 na lengo lake ni 2000?

mkuu kweli huyu muhuni tu...

hawezi kututhibitishia kwa mdomo otherwise angekuwa na registration form mallum kwa watu waliokuwa wanamgegeda!

jambo ambalo nimejiuliza hapo..'' alijuaje kwamba hao watu 324 walikuwa hawana UKIMWI?'' ?

bado haijaniingia akilini...

je kati ya hao 324, wangapi walijirudia kwenye mgegedo wake? huwezi niambia eti kila mtu alikuwa anapata kimoja na kuondoka jumla!! wakenya sometimes wanajiamshia tu scandal wawe maarufu!!
 
sidhani kama kila aliyezini nae aliambukizwa HIV..

yeye alijuaje kwamba ameambukiza watu 324? alikuwa anawapima?

je kama yeye ndiye aliyekuwa anaongezewa maambukizi na watu wengine? tutajuaje sie?

HIV+ akikutana na HIV+ mwenzie, nini kinapatikana? ongezeko tu la Virus kwa wote wawili!

unless, aje hapa atueleze alijuaje kwamba aliozini nao walikuwa ni HIV- wote, hivyo yeye akawagawia virusivya ukimwi..
Safi sana umeshafunga thread ,inaonyesha watu elimu ya Ukimwi bado haijawaingia vizuri pamoja na muhusika mwenyewe(victim) akili ndogo angejua elimu kiupana asingefungua bakuli lake kuropoka uharo
 
Mkuu huyu manzi ni miwaya.
 
Safi sana umeshafunga thread ,inaonyesha watu elimu ya Ukimwi bado haijawaingia vizuri pamoja na muhusika mwenyewe(victim) akili ndogo angejua elimu kiupana asingefungua bakuli lake kuropoka uharo
mkuu kuna yule mwingine alikuwa anajiita JENI wa sinza sijui.. nadhani story yake ushaisikia..

yeye nae eti kwa vile ana kijungu kikubwa na uso wa mkorogo, basi anajitangaza eti kaambukiza UKIMWI watu wengi sana dar es salaam hii..

aisee kuna watu hawana elimu ya UKIMWI vizuri nadhani...

kama mtu ana UKIMWI, akizini na mtu mwingine mwenye maambukizi, kinachofanyika pale ni kwamba wanapeana maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI wote wawili!!! hakuna anaemkomoa mwenzie!

kumbuka wamba virusi vya ukimwi viko vya aina nyingi mno!! wewe unaweza kuwa na kirusi A mwenzako akawa na kirusi D!! hivyo mkikutana, wewe unapata A na mwenzio anapewa kirusi D!!

na pia inawezekana kabisa kwamba mtu ambae hana HIV akafanya ngono nzembe na mwenye virusi na bado akanusurika kuambukizwa virusi vya UKIMWI ambapo kilichomnusuru kinaweza kuwa ni kutokuwepo msuguano wakati wanafanya ngono, ama michubuko haikuwepo kati yao... nk!

ahsante..
 
Of course atakuwa amewapata wengi but idadi itakuwa less than 324. However, hatari hata kama ni 100. Tuache kudonoa nje wajameni, uaminifu na tumia kinga. dada anahitaji ushauri nasaha.
 
Of course atakuwa amewapata wengi but idadi itakuwa less than 324. However, hatari hata kama ni 100. Tuache kudonoa nje wajameni, uaminifu na tumia kinga. dada anahitaji ushauri nasaha.

Anatakiwa afungwe jela huyu tena kule Kamiti
 
sidhani kama kila aliyezini nae aliambukizwa HIV..

yeye alijuaje kwamba ameambukiza watu 324? alikuwa anawapima?

je kama yeye ndiye aliyekuwa anaongezewa maambukizi na watu wengine? tutajuaje sie?

HIV+ akikutana na HIV+ mwenzie, nini kinapatikana? ongezeko tu la Virus kwa wote wawili!

unless, aje hapa atueleze alijuaje kwamba aliozini nao walikuwa ni HIV- wote, hivyo yeye akawagawia virusivya ukimwi..

Nimewaza kama wewe, halafu mwanaume kuambukizwa ukimwi sio kirahisi hivyo, hasa kwa aliyepata tohara na kama michubuko haikuhusika wakati wa tendo.
 
Nimewaza kama wewe, halafu mwanaume kuambukizwa ukimwi sio kirahisi hivyo, hasa kwa aliyepata tohara na kama michubuko haikuhusika wakati wa tendo.

this is a man made story naweza sema...

madaktari kama wangekuwa wamethibitisha hii ishu, angalau ningeamini...

watu 324? hmm! wote walikuwa HIV-? how sure was she?

si wote wanaozini na wenye HIV nao hupata maambukiz....
 
Back
Top Bottom