i hope i will move on though its hard

umefanya sahihi!
TUNAKOSEA TUNASAMEHEWA TUNAKOSEWA TUNASAMEHE!
kama hii doesnot apply in ur relationship then hakuna mahusiano hapo!
move one yupo mwingine atakayekuvalue katika uhalisia wa thamani yako!
MAPENZI NI PAMOJA NA FURAHA mamii!

Maelezo safi kabisa, sina cha kuongeza.
 
umefanya sahihi!

TUNAKOSEA TUNASAMEHEWA TUNAKOSEWA TUNASAMEHE!
kama hii doesnot apply in ur relationship then hakuna mahusiano hapo!
move one yupo mwingine atakayekuvalue katika uhalisia wa thamani yako!
MAPENZI NI PAMOJA NA FURAHA mamii!



Good Message
 
Umefanya maamuzi mazuri sana.

Lini alijua kwamba ulimdanganya miaka mitatu iliopita?

Kwa miaka yenu mie naona ni vizuri mjipe mda zaidi,ndoa si jambo la kukurupuka.
 
Pole sana huyo hakuitaji tena,songa mbele! Japo cheating si nzuri na ina haribu mahusiano ila ku admit kosa ina maana kubwa kwenye mahusiano, hapo ndipo ujue sisi wanaume tuna roho ngumu sana tunapo kuwa kwenye mahusiano! Najua ingekuwa ni yeye aliku cheat na akakubali kosa wewe ungesha msamehe! Lakini yeye amekuwa mgumu sababu muda mwingine watu ufikiri wao ndio wana umia kuliko wengine.!
Ni wanawake wengi usamehe kuliko wanaume!
Usijali songa mbele dunia ina watu wengi sana!

habari zenu wana MMU?my boyfriend who was going to be my husband jus broke up with me,sababu nimemwambia a postpone dowry/brideprice because hatupo in good terms yani,kila mara ananiambia its over,na kunikashfu,sasa mimi nimeona kua marriage now its a tough thing yaan ukizingatia am 23 and he is 24,na tunagombana sana,na kisa kikubwa to why alikua anafanya hayo yote ni kwasababu i did something bad to im,i cheated im 3 yrs ago,so he has being acting so weired yaan,its hard to walk away
 
Back
Top Bottom