Mwanakili90
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,568
- 246
bora hata ingekuwa mafuta ya taa. nadhani ni hydrochloric acid, inachakaza mpaka mpaka the most critical thinking part. sijui huyu msichana anaona sifa kulaza laza kila aina ya mabomba kwenye mtaro wake au vipi?Ningekujua unaishi mtaa gani hapa town ningekupeleka kwa dokta muamed ukapimwe, nahic akili yako imeingiwa na mafuta ya taa.
shakazulu, mimi ni mwaminifu, siwezi laza bomba langu kwa mtaro sijauchimba mimi. kama yeye atanisaliti poa Mungu yupo ila mimi siwezi fanya kitu kama hicho. awali nilikua kicheche ila sasa mtu mzima, ujinga sitakiMkuu bado ulikuwa unawaamini? Siku hizi si wanaume si wanawake wote sio waaminifu
for sure you don't deserve to be counted as a great thinker, haya mambo ni ya kwenye facebook bana.wana jf nawasalim
my boyfriend kasafiri na atakuwa ughaibuni kwa miezi kadhaa.nampenda sana na niko tayari kuolewa naye hata mkee wa pili in case atarudi na mke
my problem is this:kaniachia kigari chake (starlet) na hivyo kuniongezea mizunguko isiyokuwa na lazima na tena mpaka usiku, napata mihemko sana na nahisi soon nitateleza na tena naweza jikuta nateleza kwa mkaka wa mtaani kwetu (ofisini haiwezekani 100%)
naweza hivi: Mara mmoja kwa mwezi niwe nakuwa njee ya arusha with mtu ni mtu provided hanijui na hana hata detail yangu yeyote.again tatizo ni how i will pick this person note that asiwe mtu wa arusha ili iwe siri kuu
note:the banned marytina yupo arusha, baba mngoni,mama mchagga nitamfikishia ujumbe wowote incase
Sio kwamba she dont derseve that way,ila inaonekana ni binti mtoka kubaya asie na malezi ya wazazi wawili,soni,adabu.for sure you don't deserve to be counted as a great thinker, haya mambo ni ya kwenye facebook bana.
katika maombi niliyokuwa naomba kila cku moja wapo ni hili.
Plz naomba ni Pm niweze kutimiza maomb yangu. Ukwel Mungu kajib maombi.
katika maombi niliyokuwa naomba kila cku moja wapo ni hili.
Plz naomba ni Pm niweze kutimiza maomb yangu. Ukwel Mungu kajib maombi.
labda ningekubadilishia mwili wanguRat race!
When cat is away,the mice will play!
Rat race! Rat race!
Rat race! Rat race!
u neva knw labda na wewe unafanyiwa hivi hivi......dah...!!!sijui kama jamaa anasoma thread kama hii huko alipo akirudi itakuwaje!halafu na wewe,sikumalizi kwa kweli...
wewe ni libido lowKuliko kuwa mwanamke kama huyu bora nitumie sabuni.