Huo mwili haukupewa kwaajili ya ngono maria kama unampenda utamtunzia haijalishi yy anafanya aula ,mwisho utajafanya na mashetani ,kemea kwa jina tulilopewa (Yesu) me i have play my role as a mom to u also as ndg in christ...pls lolyz nazidiwa na mihemko kufikia wakato flani usiku sipati usingizi
yaan hata nikishuka njiani popote iwe tanga au singida nani anayenijua????????
ohh yeah,i can feel the same taste!..nawakubali wadau mpo wazi sana,na hayo ndio maisha halisi yanayotuzunguka katika jamii zetu,ingawa wadau wengine wanaweza kukuona wa ajabu lakini na hakika ni behind the keyboard ila kiuhalisia wajua kabisa ndivyo jamii ilivyo...go ahead with your plan if it is only the best and safe option you have.hapo red: yes offcourse
she is my blood sister from another mother so tunawaza vya kufanana.Marytina anaweza kuvaa viatu vyangu popote pale na atafanya kama Maria
hukunisoma
niliposema mtu awe wa mbali na sio arusha nililenga kuprotect diginity ya mchumba wangu
kwani mtaani kwetu hamna wakaka na mbona sijawapendekeza kama naweza lala na hboy????????
Kuna mdada anafanya kazi barrick kahama yaan huja Arusha kudoo ila aliapa hatadoo na mtu wa kahama au mwanza
jf is never boring lol
U play safe eeh!
Mshauri bidada sio kuguna tu; at least leo hujaguna!
maria ee, umejishushia mtu wangu. Huna tofauti na vicheche tunaowaona wakijiuza mitaani! Nia ya kutafuta stranger ni kuepusha uwezekano wa ishu kumfikia mpenzi wako ila KOSA LA KUMSALITI LIKO PALEPALE! Yeye pia akifanya hivyo utapenda?
i thought i was the only
with open mind about sex..
it turn out i am old fashioned also lol
hahahahahahahaha! kazi kwakomkuu acha kuhukumu gamba la kitabu! minataka kumpa msaada (njia mbadala ya kuzuia mihemko)