Nkaburu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 667
- 797
Nimelala nao na nalala nao kila siku.
Usijali, I'm not cheating on CheusiDawa na kiumbe mwingine.
Ni hivi, mie huwa nalala na mamilioni ya hivi viumbe wanaoishi kwenye kitanda changu.
Wanaitwa utitiri au bed mites na wako kila mahali kitandani.
They feed on my dead skin cells, they poop on my sheets. Na huwa wananisubiri kila siku, nikiingia tu kitandani tunadandiana 💓 they like to snuggle🥰
We acha nitubu, nimelala na wadudu hawa mara nyingi zaidi kuliko mimi na CheusiDawa wangu kitandani🤭 akinipigia simu usiku kabla ya kulala hajui I'm having a mitey good time!
Niwakumbusheni tu, tru fact.
Mtu huwa analala na utitiri(bed mites) zaidi ya milioni 10 kwa siku kitandani
Have a good mitey night tunait🤗