nimfurahi sana huyu jamaa kutimuliwa...katizameni jimbo lake la Songea lilivyochoka..
Kuwa nje ya serikali kutamcost kimipango 2015 .sasa ajikite zaidi kwenye chama na amuunge mkono mgombea mwenye ushawishi mkubwa ili 2015 awe kwenye baraza jipya and who knows maybe 2025 anaweza akawa na nafasi tena
Dr Nchimbi ni mtu wa mipango sana, there few individuals like him ndani ya ccm .he is well connected na mtandao wowote utamtaka ajiunge nao ..
Dr Nchimbi anaushawishi mkubwa kwa vijana ambao ndo wanaweza kumbeba. Apa ajipange na anagalia utoke vip.
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Yeye ni mwenyekiti mstaafu wa uv-ccm so anaujua umoja huo in and out . Kwa sasa ni mwenyekiti wa baraza la wadhamini la uv-ccm nafasi aliyokua anashikilia Mh. Lowassa . Dr. Nchimbi anaeshimika sana ndani ya umoja wa vijana wa ccmHao vijana ambao Nchimbi anaushawishi mkubwa ni wa wapi?
Hao vijana ambao Nchimbi anaushawishi mkubwa ni wa wapi?
Ameshatupwa kwenye dustbin huyo. Acha aoze