I have no doubt, Dr Nchimbi will bounce back!

Inabidi amlaumu Rais Kikwete kwa kumpatia Wizara ambayo ilikuwa juu ya uwezo wake!

Wizara ilimshinda kabisa kuiongoza kiserikali kama mtendaji badala yake akaanza kuiongoza kisiasa.

Hakufahamu kuwa, maumivu ya wananchi wanayoyapata kutokana na manyanyaso na polisi ndiyo itakuwa sumu yake katika kiti cha Uwaziri.

by the way, Rais Kikwete amesitisha vyeo vyao mpaka hapo atakapo rudi na kufanya mambo mengine zaidi, na kwa maana hiyo, Rais anaweza tena kuendeleza vyeo vyao.

Amesitisha au ametengua uteuzi wao? Kuna tofauti hapo. Ila nafikiri Mathayo anaweza kurudi, lakini si hao wengine kwa sababu ya mazingira ya kisiasa, 2014/15 ni karibu muno.
 
Umri wake siyo mkubwa he is 42 . So mpaka 2025 atakua 54 bado anaweza akawa na nafasi hiyo ya kupigani vikumbo

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

hajaenda south africa kubadili damu tu?
 
Kuwa nje ya serikali kutamcost kimipango 2015 .sasa ajikite zaidi kwenye chama na amuunge mkono mgombea mwenye ushawishi mkubwa ili 2015 awe kwenye baraza jipya and who knows maybe 2025 anaweza akawa na nafasi tena

Dr Nchimbi ni mtu wa mipango sana, there few individuals like him ndani ya ccm .he is well connected na mtandao wowote utamtaka ajiunge nao ..

Dr Nchimbi anaushawishi mkubwa kwa vijana ambao ndo wanaweza kumbeba. Apa ajipange na anagalia utoke vip.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Binafsi i hate him so much,hana cha maana anachofanya hana hana hana,na hastahili kurud serikalini,mwache akae pembeni tu,amekaa wizarani pale mambo meengi anachukulia mzahamzaha tu,watanzania wangapi wameuliwa na jeshi lake?polis wake wameshiriki mara ngapi kwenye UNGA?si yeye,si kover si Mweh-mer,ni mizigo na ni kama magunia ya misumari HAYABEBEKI
 
Halafu mi nahis huenda Nchmeba au Lusinde kuna mtu atapewa wizara hapa,,,,,hata Nkamia nae namhisihisi
 
Wengine wametolewa kafara ila huyu ndo MTUHUMIWA.Mwambie ndoto za urais sasa akaotee LIZABONI.

dah! Mbunge wangu jamani, nami ni mpigakura wake hapa lizaboni-songea. Naamini uatarudi tena kwenye kitengo kwani mh.pm kasema Rais ataangalia kwa busara. Sasa kama aliwapoza tu kwa maneno sijui, lkn cc tunasikilizia.
 
Lizaboni hizi siku mbili tatu sijaona vurugu zako hapa jf.uko wapi mngoni mwezangu wewe?teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:
Kuwa nje ya serikali kutamcost kimipango 2015 .sasa ajikite zaidi kwenye chama na amuunge mkono mgombea mwenye ushawishi mkubwa ili 2015 awe kwenye baraza jipya and who knows maybe 2025 anaweza akawa na nafasi tena

Dr Nchimbi ni mtu wa mipango sana, there few individuals like him ndani ya ccm .he is well connected na mtandao wowote utamtaka ajiunge nao ..

Dr Nchimbi anaushawishi mkubwa kwa vijana ambao ndo wanaweza kumbeba. Apa ajipange na anagalia utoke vip.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Vijana wapi hao? Kina Mwangosi? Labda kina Ridhiwani, Mwigulu kina Ludovic na kina Msaki.
Hizi story za eti yeye ni kijana alikuja nazo JK miaka hiyo.....to hell na bichwa lake kiburi kimemponza na laana ya damu za watu itamfuata hadi kaburini.
 
Kuwa nje ya serikali kutamcost kimipango 2015 .sasa ajikite zaidi kwenye chama na amuunge mkono mgombea mwenye ushawishi mkubwa ili 2015 awe kwenye baraza jipya and who knows maybe 2025 anaweza akawa na nafasi tena

Dr Nchimbi ni mtu wa mipango sana, there few individuals like him ndani ya ccm .he is well connected na mtandao wowote utamtaka ajiunge nao ..

Dr Nchimbi anaushawishi mkubwa kwa vijana ambao ndo wanaweza kumbeba. Apa ajipange na anagalia utoke vip.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Hiyo mipango mnapangaga nae mkiwa wapi,kitandani wewe na yeye?hata Marsha mlisema hivi hivi yupo wapi sasa hivi?usituletee Dibaji zisizoeleweka hapa. Kama amekutuma upime upepo mwambie imekula kwake,na uzuri mmoja nadhani amesahau falsafa ya Bosi wake aliemteua kuwa kila mtu atajimaliza mwenyewe,so Nchimbi amejikaanga kwa mafuta yake mwenyewe,kwa hiyo atulize kipago.
 
Kama alifanikiwa kuwa "Dr" wa kweli na alikuwa haendi shule kuuza sura akafundishe Chuo.
 
Kuwa nje ya serikali kutamcost kimipango 2015 .sasa ajikite zaidi kwenye chama na amuunge mkono mgombea mwenye ushawishi mkubwa ili 2015 awe kwenye baraza jipya and who knows maybe 2025 anaweza akawa na nafasi tena

Dr Nchimbi ni mtu wa mipango sana, there few individuals like him ndani ya ccm .he is well connected na mtandao wowote utamtaka ajiunge nao ..

Dr Nchimbi anaushawishi mkubwa kwa vijana ambao ndo wanaweza kumbeba. Apa ajipange na anagalia utoke vip.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

ushabiki bwana kazi mno hasa ukiwa mtu wa kushabikia watu mana unaweza yumba sana bila hata kujua unafanya nini sasa Nchimbi anaushawishi kwa vijana wapi mana mi ndo leo nasikia kauli hii kama alishindwa kuzuia na kufuatlia vijana walio uwawa kwenye bomu la arusha na kwingine Tanzania sasa ni vijana gani anaweza kuwashawishi ACHA USHABIKI WA KIJINGA
 
Ubalozi unanukia

Kweli hapo labda kwa aibu tu. Nenda nje ya nchi kawakilishe ili ule taratibu. Mikikimikiki ya hizi wizara zina changamoto zake haza zama hizi za vyama vingi. Huu sio wakati ulee wa enzi zile. Sasa hivi kila mtu yuko macho. Kifupi "asiyefanya kazi na asile."
 
Umri wake siyo mkubwa he is 42 . So mpaka 2025 atakua 54 bado anaweza akawa na nafasi hiyo ya kupigani vikumbo

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Huko nchi inakokwenda huyo Shosti wako na elimu yake tata hatakuwa na nafasi!!! Nchimbi aliweza kufanya siasa za umoja wa vijana kwasababu ya kubebwa na wakina Lowassa na Mkweree; huko tuendako siasa za kubebana zitakuwa zimezikwa hivyo itakuwa busara kama ataendeleza biashsra ya ke ya mabasi aliyonunua kutokana na fedha za kuhongwa wakati wa kuuza jengo la umoja wa vijana kwa wahindi!!!
 
nimfurahi sana huyu jamaa kutimuliwa...katizameni jimbo lake la Songea lilivyochoka..

Kama wataunda tume ya mahakama na mauaji ya mwangosi, arusha na songea yakaongezwa kwenye hadidu za rejea hawezi kurudi tena kwente siasa
 
Amini msiamini, anayo nafasi, kama si ukuu wa wilaya,ukuu wa mkoa, pengine ubalozi. Kikwete hawezi kumwacha nchimbi alimsaidia mwaka 2005 kwenye kambi yake!
 
Yeye ni mwenyekiti mstaafu wa uv-ccm so anaujua umoja huo in and out . Kwa sasa ni mwenyekiti wa baraza la wadhamini la uv-ccm nafasi aliyokua anashikilia Mh. Lowassa . Dr. Nchimbi anaeshimika sana ndani ya umoja wa vijana wa ccm

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Ungesema vijana wa CCM mbona uli generalise?
 
Back
Top Bottom