I have been hacked

I have been hacked

Rabi's-son

Member
Joined
May 19, 2014
Posts
27
Reaction score
18
kwa wale watalaam wa ku-hack website na database naitaji msaada wenu, nahisi kuna mtu ananidokolea data zangu kupitia utaalam wa kimtandao, kwa yeyote ambae atakua tayari kunipa msaada na kunionesha ni jinsi gani imewezekana kufanyiwa ivi au kama kuna mtu anajua kuna mtaalam flani anaweza nisaidia anisaidie...ntakua tayari kutoa chochote.
 
Pamoja na kutaka kujua kama kuna anayekudukua usiseme nipo tayari kutoa chochote. Kuna wengine wenye vichwa kama mimi watakuambia uwape 0713........ Sema tu nipo tayari kutoa pesa kiasi kadhaa.

NI USHAURI TU.
 
jamani, mbona hivi tunavunjana mbavu na jua lote hili hahahahahaahahhaahhha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom