Kuna siku nilisema unafrustration na tutaizungumzia siku nyingine kuona huu uzi nimeona tuongelee leo. Frustration ni hali impatayo mtu pale anaposhindwa kufikia malengo yake. Hali huweza kuwa kama ifuatavyo.Ipo siku nitaleta ushuhuda humu. And you will be the first to like and Appreciate My Effort to Succeed. Am close to what i seek.
Kuna siku nilisema unafrustration na tutaizungumzia siku nyingine kuona huu uzi nimeona tuongelee leo. Frustration ni hali impatayo mtu pale anaposhindwa kufikia malengo yake. Hali huweza kuwa kama ifuatavyo.
Apathy: hapa mtu aliyeshindwa kufikia malengo yake hukata tama na kuamua itakavyo kuwa na iwe. Mtu huyu anakuwa amekubaliana na hali ya kushindwa. Unakuta mtu anaanza kuwa mlevi.
Rationalization: hii ni kama ile story ya sizitaki mbichi hizi. Watu wa dizaini hii lazima watafute sababu ya kufeli kwao. Wanaweza kujilaumu wenyewe ila mara nyingi husingizia wengine au mfumo. Mfano unaweza kuwaza maprofesa wenyewe hali ngumu ndiyo maana anko hawezi hata kutusaidia. Rationalization inauzuri wake kwani humuacha mtu na amani ya akili.
Compensation: hapa ni mtu akishindwa jambo Fulani. Mfano ukiona shule inakushinda unafanya biashara , biashara ikikushinda unalima nk.
Aggression: hapa mtu huwa na hasira kali huelekezea wengine au hata kwake mwenyewe.
Nimesahau inaitwaje: hapa mtu huamua kurudia kufanya ishu alizokuwa akifanikiwa. Mfano motto akizaliwa mwanaume anaanza kuchepuka kupata atensheni iliyohamia kwa mototo.
Nilitaka ujue psychology of failure , ujue upo wapi na uchukue hatua zifaazo.
Sijazaliwa miaka mingi ilopita, Lakin jana jioni nilipokuwa nimekaa nje ya nyumba yetu, mida ya saa Tano, katika kutafakar kwangu juu ya Maisha yangu, Nimegundua kuwa Sijakamilisha chochote, yaani, i have Accomplished Nothing.
Nikiitizama Elimu yangu, Nimemaliza form six na division three, Nilisoma HGE na History nilipata C, Geography- F, Economics- C. Nilichaguliwa Ualimu Chuo kipya cha Tabora, lakin kutokana na sababu za kiuchumi, sikuweza kwenda, Badala yake nikaenda kuwa Volunteer katika taasisi moja kubwa ya Afya, inayomilikiwa na wahindi.
I wanted to be the best in everything i do, but i always end up the worst, if not the Least. I once said i wanted to be a Professor, kwa sababu ninae Mjomba wangu, ambae ni Professor pale chuo cha Mlimani, na anaishi maisha mazuri mpaka ametusahau wapwa wake.
Niliwah kufanya RAP MUSIC, miaka ya Nyuma, lakin sikutoka. Nikaingia kwenye Maigizo, lakin pia sikitoka.
Nikitizama navyoishi, najiona kama Mfa Maji, natapa tapa tuu, Naweka Muongozo Usiku, Asubuh napangua napanga mengine.
Kiufupi, Naona kama nasindikiza watu, Nilikuwa wa kwanza kufungua Account, in comparison to my friends, lakin leo hii, nina salio dogo kuliko hata wale niliotangulia kufungua account.
Nilikuwa wa kwanza kupata kazi, kabla ya Marafiki zangu, lakin sasa wao wana maendeleo Makubwa kuliko mm.
Mpaka sasa nimeshindwa kuishi maisha ya kujitegemea, japo nina kazi, Naogopa nikitoka nyumbani, naweza shindwa mudu gharama za kupanga. Nina Ujinga mwingi kichwani, najiuliza ni vipi nitautua huu Ujinga?
I dream Success, i pray i become successful, but ukicheki navyo ishi, I Live Failure' Sina nachojivunia ktk Maisha haya, Maana mpaka sasa, sijaweza ishi, hata theluthi ya Maisha ninayoyataka.
What's wrong with me? Nakosea wapi? What am i Lacking? What needs to be done in me, to Transform my Life from Failure to Success?
If i was your brother, Ungenishauri nifanye nn?
kinachokucost unawaza glass yako ipo half empty badala ya kufikiria ipo half full.......always usiruhusu negative thoughts zikucontrol...simamia kwe mazuri uliyokua nayo na jitahidi kuyaendeleza..ps ukitaka maendeleo kaa na kujifunza kwa walioendelea....badala ya kumponda huyo mjomba wako kaa naye karibu akuoneshe njia na kama anaona una nia atakuwa hapo..isije kuwa kila ukimwona we ni vibom vya ela tu hata mimi nakukimbia
Kuna siku nilisema unafrustration na tutaizungumzia siku nyingine kuona huu uzi nimeona tuongelee leo. Frustration ni hali impatayo mtu pale anaposhindwa kufikia malengo yake. Hali huweza kuwa kama ifuatavyo.
Apathy: hapa mtu aliyeshindwa kufikia malengo yake hukata tama na kuamua itakavyo kuwa na iwe. Mtu huyu anakuwa amekubaliana na hali ya kushindwa. Unakuta mtu anaanza kuwa mlevi.
Rationalization: hii ni kama ile story ya sizitaki mbichi hizi. Watu wa dizaini hii lazima watafute sababu ya kufeli kwao. Wanaweza kujilaumu wenyewe ila mara nyingi husingizia wengine au mfumo. Mfano unaweza kuwaza maprofesa wenyewe hali ngumu ndiyo maana anko hawezi hata kutusaidia. Rationalization inauzuri wake kwani humuacha mtu na amani ya akili.
Compensation: hapa ni mtu akishindwa jambo Fulani. Mfano ukiona shule inakushinda unafanya biashara , biashara ikikushinda unalima nk.
Aggression: hapa mtu huwa na hasira kali huelekezea wengine au hata kwake mwenyewe.
Nimesahau inaitwaje: hapa mtu huamua kurudia kufanya ishu alizokuwa akifanikiwa. Mfano motto akizaliwa mwanaume anaanza kuchepuka kupata atensheni iliyohamia kwa mototo.
Nilitaka ujue psychology of failure , ujue upo wapi na uchukue hatua zifaazo.
Wadau, i believe mpo Poa.
Nina Mpenzi nimekuwa nae kwa takriban Miaka Minne sasa, Nilianza kumtongoza tukiwa Form Five, yy akiwa anasoma Shaaban Robert, Mimi nasoma Jtegemee.
Akaja nikubali tukiwa chuo Mwaka wa kwanza, mambo yalikuwa poa, nilimpenda, Mpaka sasa nampenda, lakini shida Ilianza nilipoanza kuomba Papuchi, Mrembo alikataa kata kata, na kunakipindi ktk ugomvi akanitamkia kama nimeshindwa kumuelewa nitafute mwanamke mwingine, kwamba yeye hataki tufanye mapenzi mpaka nimuoe.
Mwaka ukaisha, kidume navumilia, mwaka wa pili ukaisha na watatu, Napiga nyeto huku nina Mrembo Mzuuri, hadi wenzangu wananionea wivu. Kamaliza chuo, akapata kazi, lakini Uzi ule ule, sasa ni myaka minne, sijacheza nae game hata Moja.
Nimetumia Lugha zote, nimeshafanya kila kitu lakini wapi, Uwezo wangu kifedha sio mzuri hata leo ningemuoa, lakin mamaa hanielewi, nafanya Paper za board ya Procurement, Mshahara wote unaishia huko, achilia Kodi, nauli na chakula.
Mtoto hataki kutoa Papuchi, jaman what should i do? Nimechoka kupiga nyeto, Uume umeingia ndani, nina hasira, sina concentration nzuri ofisini, Shuleni hata home. Yaani am confused, nawaza kumuoa but sitaki reason iwe mapenzi, maana ndio sio Mapenzi tuu.
Namombeni mnishauri, miaka minne, naitwa Majina yote mazuri, Mume wangu, My Love, baba kayai... Lakini Papuchi sipewi, Nimepiga nyeto mpaka uume ukiuona mkono wangu wa kulia unasimama.
Am tired jaman of ths Life. Naombeni mnishauri ndugu yenu, kijiua sijiui ng'ooo.
Hii ni tread yako ya tarehe 3/7/2014 ambapo inaonyesha wewe uliwahi kusoma chuo na ni mhitimu wa chuo fulani.
Katika majibu yako uliyonipa juzi ni kwamba hukwenda chuo kusomea ualimu kwasababu ulifeli form six. Lakini hapa kwenye hii thread inaonyesha wewe ni mhitimu wa chuo sasa inakuaje hapo embu tupe ufafanuzi NOEL 2014.
naomba majibu ya hapo mkuu.
naomba majibu ya hapo mkuu.
Una maanisha nn, unaposema swot? Sinogeshi, i mean what i write.