Waliokunywa uji wa mgonjwa na mgonjwa akafa, walioshi maisha ya liwalo na liwe wakat kamanda anaishi maisha ya ngoja tuone, waliodhibiti pale mtu anataka kuweka mbingu vilaka,,
hawa ndio wale walioishi maisha ya mbwa kala mbwa na nyani akimkana mwanaye, hawa ndio wale waliojaribu kumchokonoa kamanda kwa ufito wakat akiwa amejifunika blanket..
Hahahaaa haya maneno yalikuwa yananitoa machozi hasa kile kipindi cha USHIRIKIANO,UVUMILIVU NA UTIMAMU WA MWILI.