I have a baby girl

I have a baby girl

yaani umezaa only 2hrs ago ushakimbilia kupost jamii forums niliambiwa kuzaa ni kazi sana kuna mtu alinidanganya zaidi hongera sana
 
hakyanani vile hii ndio doti komu. mtu anajiopen halafu immediately thereafter anapost wassapu, efubii na jeyiefu. naomba na pix zako za leba nihakikishe isiwe kamba!
 
yaani umezaa only 2hrs ago ushakimbilia kupost jamii forums niliambiwa kuzaa ni kazi sana kuna mtu alinidanganya zaidi hongera sana

siku hizi.kuna kuzaa bila kuumwa uchungu......miezi ikitimia unajipeleka hospital unapasuliwa bila kusikia chembe ya uchungu......ila raha ya kuzaa ule uchungu uugulie......pale ndiyo una feel umama kabisa.......
 
yani imekuchukua masaa mawili tu toka tukio la kujifungua na kupata muda wa kuja kutundika post ya huyo mtoto humu JF... that is kinda amazing
HONGERA KWA KUJIFUNGUA SALAMA DADA
 
hongera aiseee....wanasema kulea mimba si tabu .....tabu kulea mwana.......Mungu akusaidie umlee mtoto wetu vzuri.....

ukitoka hospital mpeleke kanisani kama mkristu...kamkabidhi kwa Yesu.....au kam muislam basi mpeleke msikitini......

Atamkabidhi kwenye social networks kwanza inavoonekana....

None of my business though
 
Back
Top Bottom