baby wa kitaa
Member
- Oct 22, 2013
- 65
- 26
Mungu ni mwema, nimepata mtoto wa kike masaa mawili yaliyopita. Muombeeni mtoto wetu akue mwenye afya njema. Nimefurahi kuwa mama.
Ha ha ha ha ha
Mitandao ni shida
hongera baby kwa kupata baby
yaani wewe una maana gani