I hate when people confuse education with intelligence you can have a bachelor's degree and still be an idiot.

Intelligence asili yake ni ukame

Ima umekutanao bampa to bampa

AU waliokulea walikutana nao wakakudiscipline kwenye mnyooko ukajikuta unaweza

Kuna watu kupitia njaa za vitubio kiimani wadhani wataweza.! hakunaga kitu kama hicho

Wagalegale na njaa miaka mia hawawezi ni gift
 
Kuna watu wanalazimisha wawe na phd ili mradi waonekane wana inteligence ila ni vitu tofauti
 
Intelligence asili yake ni ukame

Ima umekutanao bampa to bampa

AU waliokulea walikutana nao wakakudiscipline kwenye mnyooko ukajikuta unaweza

Kuna watu kupitia njaa za vitubio kiimani wadhani wataweza.! hakunaga kitu kama hicho

Wagalegale na njaa miaka mia hawawezi ni gift
Una rap au?
 
Back
Top Bottom