Kwani ww uko mkoa gani?
Njoo tufanye kolabo tumrushe roho
Hivi haya mbo ya kufuatiliana maana yake nini!!
Me na yeye tuna complicated relationship, ana act like he's not interested with me,he doesn't care whatever I can decide for him ila ananifatilia kiupande wa mawasiliano....anaona kila chat ya whatsapp na text za kawaida,how can I avoid this?!!
Njoo tufanye kolabo tumrushe roho
Me na yeye tuna complicated relationship, ana act like he's not interested with me,he doesn't care whatever I can decide for him ila ananifatilia kiupande wa mawasiliano....anaona kila chat ya whatsapp na text za kawaida,how can I avoid this?!!
we nawe achaga unoko wenzio wakifanya yaoHalafu ukijua mkoa aliopo ndio inakuwaje??
Jf khaaaa!!
ushauri huu unanguvu za giza zishindwe!Huna haja ya kuavoid
..
Dawa ni kuchat kimahaba na mwanaume mwingine
Si anapenda kusoma msg zako? Ndio azisome vizuri