Hongera sana Kaunga, I have read the whole thing, now I have a full picture, sina la kuongezea kwani naona yote niliyokuwa nataka kusema yameishasema na wadau.
Kila la kheri with your to be hubby!
Hey Muddy Washngton, mambo! LOL
Yaani ningeshangaa hadi Uzi uishe hujanidondoshea dongo! Anayenikondesha hawezi kwenda kwa Mange! LOL
Thanks Mito, najaribu kuyafanyia kazi niliyoshauriwa, zidi kuniombea tu!
Huenda kuna siku nikapata majibu ya maswali ninayojiuliza kila inapoitwa leo kuhusu namna mwanadamu alivyo!Enwei,napita tu hapa,kuna mambo mengi yaliyo ndani ya kichaka ambacho sina uhakika na umbali wake,but huenda hatutakiwi kuyafuata na kuyachakurua!!
Nikiamka ni mtu wa kwanza kumfikiria, nikilala ni mtu wa mwisho kumfikiria!
Ndoto zangu nyingi ni juu yake!
Nisiposikia sauti yake naumia!
Nisipopata SMS nakasirika!
Sina nguvu za kucontrol hisia zangu na sina uwezo wa kumficha ninavyojisikia!
It hurts so much that we are apart, ninaumia sana ninapotaka kukumbatiwa lkn naishia kukumbatia mito.
Nahisi ninaact like a school girl in love while l am a mature woman; nifanyaje?
oh polee!be a matured then even kihisia
I think l am too old for this, hii ya kukagua Simu kama SMS imeingia jamani. I was doing well kabla ya kukutana naye!
Kigoma na Dar hny, ATC ndio mfiliisi precision ndio hiyo upitishwe kwanza Mwanza then KIA ndio JKNIA. Ndicho tunachofanya so far, lkn siridhiki bado. Nataka tuongee muda wote, SMS all the time; kama si utoto ni nini?
Past relations hata week bila mawasiliano ningeona poa, lkn sasa..hadi najichukia!
Sasa Kaunga print hii makitu uwe unayasoma mara kwa mara. Usifanye mchezo na long distance relationship asee. Mara nyingi sana huwa haziwork na ni full kuchitiana kimatendo na kupendana kinafiki "kimaneno". Kabla sijaanza kuchakachua, mark my words.... Tumia akili kuuruhusu moyo wako kupenda. Usipende kwa kutumia moyo kabla hujatafakari kwa kutumia akili. Mapenzi ya siku hizi ni almost full usanii.
Mbona ni kawaida tuuuu; si imeandikwa iliko hazina yako ndiko na moyo wako utakuwako? wala usiachie hapo ndio um efika na huo ni uganga tosha wa kumfanya asitende lolote kinyume nawewe hata angetaka vipi ramani zinajipasukia kiajabuajabu hadi apige breki kwako ni kama uchawi vile au kumfunga kuku kambaNikiamka ni mtu wa kwanza kumfikiria, nikilala ni mtu wa mwisho kumfikiria!
Ndoto zangu nyingi ni juu yake!
Nisiposikia sauti yake naumia!
Nisipopata SMS nakasirika!
Sina nguvu za kucontrol hisia zangu na sina uwezo wa kumficha ninavyojisikia!
It hurts so much that we are apart, ninaumia sana ninapotaka kukumbatiwa lkn naishia kukumbatia mito.
Nahisi ninaact like a school girl in love while l am a mature woman; nifanyaje?