Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,234
Tena ngoja nimtukane kabla sijampa pasiwedi. ***** kabisa, kunipiga hands up ukubwani sio ishu kabisa
Na nilivyo mnene afu ukute ninama kucha, si majanga haya.
Anyway bana.
Na nilivyo mnene afu ukute ninama kucha, si majanga haya.
Anyway bana.
Nimecheka sana miye!!
Waswahili wana msemo, ukilijua hili mwezio ajua lile.............................Zombie :israel::israel:
Mapenzi ni kama utoto, tofauti ni michezo tu!! kumamae hii ni noumer
cc Karucee