haki ya nan maisha yanakuwaga magumu kweli unapokuwa ww una kimuhe muhe cha kuwasiliana na mwenzio kila dakika halaf yy hyo siyo style yake. ishawah kunitokea baada ya muda utazoea na utachukulia poa coz bado wachanga mno, miez mi5 bado mapenz ni motomoto.
That is scary! Nakubaliana na huo ukweli mchungu. I hope atakuwa mstaarabu enough not to take advantage of my stupid love!
yes itapungua beliv me my dia Kaunga, my girlfrnd 1st time alikuwa very crazly to me, each time she text me/call me mpaka akawa ananiboa, but now yupo poa, we have 1+ year nwI miss the strong kaunga l used to be!
Vipi with time hii inaweza pungua?
inabidi utoe ajira kafara ili umfaidi, hapo kweli utakuwa unampenda.
Mkishakuwa pa1 unaweza tafuta kaz nyingine huko mtakako kuwa nae.
Lol, kweli mapenzi noma.
yes itapungua beliv me my dia Kaunga, my girlfrnd 1st time alikuwa very crazly to me, each time she text me/call me mpaka akawa ananiboa, but now yupo poa, we have 1+ year nw
I meant sijawahi kupenda like that!
Najua 5 months ni muda mfupi kumfahamu mtu na ndicho akili yangu imekuwa ikijaribu kuushauri huu Moyo wangu ambao umekuwa mbishi sana. Kifupi nimefanya reasonings za kuzidi lkn reaction bado ni ile ile. Nafanyaje ili asitawale mawazo yangu.
Naitamani sana hali yangu ya zamani ambapo l was in control.
Poor Kaunga.... You have fallen in love. My grandpa used to tell me "Do love, my son, but never ever fall in love". Sikuwa namwelewa mpaka nilipokuja kugundua kuwa kupenda ni furaha na kufall in love ni utumwa. Jitoe utumwani rafiki otherwise you are done. Si wajua sie midume tukishajua bibie kafall tunavodenguaga?
Asante kwa kunipa matumaini Nambe, l hope with time itapungua; ila haya mambo bwana yalikuwa yanafaa kwa teenegers. Huwezi amini just few months nilikuwa nikiona mtu anahangaika na vijiSMS namshangaa halafu namuonea huruma. Look at me now! Ptuh