I hate Shorty Ladies..

Mtoa mada tubu kwa Mungu,utakufa kibudu ukijiona ila kama ni wale wa div 5 naomba tukusamehe bure maana hata walimu walokufundisha walipata hiyo alaf hawakufanyiwa usahili kuingia kazini
 

Jf sasa imetia fola,kila siku ni visa na mikasa,mara makabila malaya,mara makabila yasiyojua chochote,sasa upepo umehamia kwa wafupi,najua ikitoka inaweza kuelekea kwa wanene,wanene mjiandae

sema kilichopo moyoni mwako,usife kijerumani na tai shingoni,sema eiza watu watapenda au hawatapenda ila umesema,
 
Mkuu kama nataka ku balance basi anza ku date na wasichana wafupi, najua mwanzoni utapata taabu sana lakini kadri unavyoendelea utawazoea.

Mkuu mimi nilijaribu lakini,dah! Niliekua nae alinishnda. Kila mtu na bahati yake!
 

sijui ww ni me au ke,bt umempa ushauri mzuri xana.kip it up,hu ndo uchambuzi yakinifu.
 
kwa nini unawachukia?
walikufanyaje?
 
Kwa nini umdharau binadamu mwenzio kisa maumbile?

hakuna aliyependa kuwa hivyo alivyo.

nimekiri udhaifu wangu mkuu..
ndiyo maana nikaandika, sipendi iwe kama ilivyo.
 
Mtoa mada tubu kwa Mungu,utakufa kibudu ukijiona ila kama ni wale wa div 5 naomba tukusamehe bure maana hata walimu walokufundisha walipata hiyo alaf hawakufanyiwa usahili kuingia kazini

hujaeleweka mkuu.
 

Amen!!
Asante sana kwa ushauri madhubuti
 
Mungu nae ana makusudi yake, tungekua wote warefu nani angemweshimu mwenzie?Ukiskia maajabu ya Mungu ndo hayo pia.
 
kuna mtu alisema kwenye uzi flani hivi

mbona siku hizi hatuokoti ela
watu wakamjibu wewe umedondosha ngapi

namanisha ukiona upaati watu wa refu utakua na wewe mfupi
lets say kwa mfano mimi nina 164.5 mpenzi wangu ana 182 kwa sababu hivyo vyote ni vipimo vya urefu

sasa kabla huja wachukia jiulize weewe ni mrefu
ila do u knw kwamba hamna mtu mfupi inategemea tu umesimama na nani
 
ebwana wafupi wakorofi balaaaa....ila dah mie penda tall women yaani ni wazuri na wataratibu kweli
 
Acha dharau wewe! Kwanza utambue kuwa hakuna mtu aliyeomba urefu/ufupi wakati anaumbwa. Na utambue ni kosa kumchukia mtu bila sababu za msingi. Poleni wadada wote wafupi mnaochukiwa na huyu jamaa. Mimi nawapenda sana!
 
si inadaiwa wengi wao ni vicheche sana halafu wabishi pia.ila mimi napenda videmu vifupi (not pygmies ) sababu ni rahisi kubinuka navyo kunako 6×6.vingi vipo flexible.vitundu na vinajua kucheza na "mpododo".
ukisema cha nini wengine tunasema tutakipata lini.
 
uran hii itakuafaa sana njoo uisome na uifanyie kazi halafu utatuambia ikiwa utapenda watu wakuchukie kwa mapungufu uliyonayo,au we mwenzetu umekamilika?
 
Last edited by a moderator:
umemaliza kila kitu mkuu hata sijui niongezee nini,unajua mara nyingi watu wenye kuchukia watu wa type fulani huwa wana kasoro zao na hivyo ili kujifariji kwamba hawajali ndo hapo wanatumia defensive mechanism ya kuwashuhsa wenzao ili wao waonekane wako juu licha ya mapungufu yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…