I hate SHIKAMOOO.....!!!!!!!!!!!

oyaaaa we kaka acha visa basiiii......... Mtambuzi!!!
mimi napenda kuku shika more.................lakini ndo ivo unanibania tena humu jukwaani...lol
 
Last edited by a moderator:
Tena wanaume ndio sipendi kabisaa, hapa kazini kuna jamaa moja lina mwili mkubwa kila siku linaniamkia SHIKAMOO Mzee, huwa namwangalia tu wala simjibu

Hata mie sipendagi hata kidogo, afu kuna huyu binti anaitwa King'asti huwa anaweza kuniamki2 hata mara tano kwa siku, sipeendi, kuwekana kwenye nyakati ngumu tu
 
Last edited by a moderator:
Kwani Mtambuzi ina maana humu Jf vipo vischana ambavyo vichuchu bado vimewasimama?
 
Last edited by a moderator:
Hata mie sipendagi hata kidogo, afu kuna huyu binti anaitwa King'asti huwa anaweza kuniamki2 hata mara tano kwa siku, sipeendi, kuwekana kwenye nyakati ngumu tu

Huyo King'asti kwa mpango huo itakua anatafuta la ziada!
Soma maashiria ya nyakati Baba V!
Unasubiri nini kucheka na nyavu za kamba?
Yaani wewe na Kipa tu !
Ukibutua nje utazomewa ujue?
 
Last edited by a moderator:
We nahisi una sura kama ulobandika kulee,hutabiriki naweza kusalimia ukachukia au nikakujulia hali yako mf. Habar za saa hiz mtambuz? Pia ukamind ukisema sina adabu
Tena wanaume ndio sipendi kabisaa, hapa kazini kuna jamaa moja lina mwili mkubwa kila siku linaniamkia SHIKAMOO Mzee, huwa namwangalia tu wala simjibu
 
Naomba niwe mkweli, siipendi hii salaam kama nini, yaani nikikutana na binti akiniamkia Shikamoo natamani nimtwange makwenzi ujinga umtoke,

Sipendi mambo ya kuzeeshana kabisa mimi.

Mtambuzi shikamoo. Najua ya kwangu u love it kwa sababu mi sio binti.
shikamoo tena kwa mara ya pili tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Naomba niwe mkweli, siipendi hii salaam kama nini, yaani nikikutana na binti akiniamkia Shikamoo natamani nimtwange makwenzi ujinga umtoke,

Sipendi mambo ya kuzeeshana kabisa mimi.

shikamoo ankoli mtambuzi ushazeeka hivoo lakini bado umo tu na ujana dot com
 
Naomba niwe mkweli, siipendi hii salaam kama nini, yaani nikikutana na binti akiniamkia Shikamoo natamani nimtwange makwenzi ujinga umtoke,

Sipendi mambo ya kuzeeshana kabisa mimi.

duh ntakuwa nakwambia mambo vp broo,hapo imekaaje umenikumbushaa Munishi aliimba kuna watu wanaukimbia uzee wakati umeshafika loh acha zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…