small or Big??
House wife.
Basi nirudie my baby! Achana na Kipipi yule bintibwa kichaga hajui mambo.
kwani kuna aina ngapi za wife??
Moja tu. Big wife as house wife.
OOHH OK OK so kwanini small house (nest) inakuwa na nguvu ?/?
mchumba shikamoo
Basi nirudie my baby! Achana na Kipipi yule bintibwa kichaga hajui mambo.
Kwi kwi kwi kwiiiiiiiiii! Marahaba mchumba! Mnh, hivi mtu huchumbiwa hata baada ya kuolewa?
Hahahahahahaaaa! yaani umenifurahisha sana Mtambuzi, maana wazeee wote wanaofanya kazi serikalini hiyo kitu hawaipendi kabisa, ukitaka kuelewana nao wewe waambie mambo, utaona lizee linavyofurahia anajiona kama mko sawa kumbe kakupita miaka 20.
Hata ukienda kule kwa small house watoto wake wanakuita ANKO!!!! Hahahahahahaa! Ama kweli !!!Ningependa zaidi kuitwa ANKO,
Yaani nisalimiwe kwa kuambiwa , "HABARI ZA ASUBUHI ANKO"
Waohooooooooo
Thanks honey!
Mwaaaaaaaaa.