Jamani hebu niambieni nimsaidiaje huyu kiumbe.
Few years ago nilikuwa na boyfriend where we loved each other to death, yeye mwenzangu alikuwa ni mtoto wa mama(familia bora, mboga saba),school international mi nimetokea kule swahili academy a.k.a mtakuja primary school.
After sometimes huyu mwenzangu akawa alcoholic bila ya kwao kujua,na mpaka walivyokuja kujua wakawa wanamuadhibu kwa kumnyima hela za matumizi, kwao walivyoanza kumtenga akaanza kuni abuse flani hivi, i mean nikiwa na hela basi nimpe yote akanywe pombe, nisipompa tunapigana.
siku zikaenda miaka ikapita,alivyomaliza chuo kila akitafutiwa kazi(hawezi kutafuta kazi mwenyewe coz of ulele mama) baada ya muda lazima afukuzwe kwa ajili ya ulevi.
Nikaanza kumchukia huyu kijana,maana akawa ni mlevi wa matapu tapu.
Mungu si asumani wala rajabu, nikafanikiwa kuja ulaya kubeba box hapo ndipo nilipopata nafasi ya ku move on na maisha yangu na kumsahau.
Tatizo ni kwamba anazidi kunisumbua na kila nikijaribu kumwambia abadilike hanielewi, he is about 30 bado yupo yupo tu anaishi na mama, mlevi wa gongo,ana kila aina ya kituko.
Kila nikimwambia mimi na wewe tumemalizana hanielewi, eti anasema nimebadilika sababu nipo ulaya ana beep mchana na usiku.
Now namchukulia kama best friend,nataka kujaribu kumsaidia angalau labda aache pombe.
Nikampa condition kwamba akitaka turudiane basi aache pombe, akakubali, after two month naongea nae, nikamtania kwa kumuuliza"vipi leo haujanywa? alichonijibu ni kwamba eti hana hela,kama vp nimtumie hela ili akapate beer 2.. sasa hii ni akili kweli? alishasahu kwamba aliahidi atabadilika.
i cant change my contacts na nataka awe out of my life forever nafanyaje? nisaidieni jamani.:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
i just hate him
halafu sijui huwaga wanawapaga nini,maana mnawapenda kupita kiasi na hamsikii la kuambiwa.Binamu yangu yeye mpaka kangolewa meno nabado hela ilotumwa kumsaidia jaamaa kabeba kenda nywea mapombe mavi yake bado anaye tu na ukitaka kumsaidia lazma amtaje na huyo kibwengo mkubwa wa shetani:rain:
Mi mwenzenu sijui labda nitakuja kubadilika huko mbele ya safari? Lakini nikisema Nooooooooooooooo to you nimesema sirudi nyuma wala sigeuki, na nikisema Yesssssssssss nimesema kwa kumaanisha pia!!!
Ni rahisi Yes kubadilika kuwa Nooo kuliko Noo kuwa YES!!
Najua tunaishi kwa neema ya Mungu, so hata bila uwepo wako wewe nitakayeona sikupendi au nakupenda maisha yanaendelea tu. Ilimradi nisimkosee Mungu kivile!!
Mwache abip atachoka ataacha, nini kubip apige masaa yote kumi na mbili kama sitaki kupokea sitaki tuuuu!!
Na hawa watoto wa kwenye taulo hawa, daaa nikikuhisi tu we ni wa kwenye taulo, nakula kona tu manake najua hapo maisha lazima yawe magumu!!!
So dada kwa nini uhangaike na mtu humpendi, tena yuko mbali hivoooo!!
Hata tungekuwa tumepanga nyumba mmoja achilia mbali tunakaa mtaa moja, YES ni YES na NO ni NO!
Mara nyingi uwa na wasiwasi na AKILI ya WANAWAKE!
Huyu mtu amekutenda, mpaka ukachukua uamuzi wa kwenda nje ya nchi...
Baada ya kufika nje ya nchi unapata ki-simu cha kichina halafu unamtumia CONTACT...!!!!!!!!!!!!
Nadhani aliyesema uhawala hauwezi kuisha alikuwa mkweli! kha!!
Wewe mwenyewe ndiye uliyeanzisha mawasiliano baada ya kufika huko nje ya nchi, sasa unataka msaada gani?
mbona kwenye simu za siku hizi kuna sehemu waweza kumreject au kum blacklist mtu usiyetaka akupate akipiga?kila akipiga itaandika busy kwake hata upande wa msg pia hata kupata kamwe hadi atakata tamaa mwenyewe
Soma signecha ya mrusha sredi
Ameshasema harudi, sasa ana wasi wasi wa nn?
kwanza wewe mdada mnywa gongo hela ya kupiga simu ulaya anatoa wapi kama sio wewe unaempigia:rain:
Kheeeee Kheeee Kheeeeekwanza wewe mdada mnywa gongo hela ya kupiga simu ulaya anatoa wapi kama sio wewe unaempigia:rain:
kwanza wewe mdada mnywa gongo hela ya kupiga simu ulaya anatoa wapi kama sio wewe unaempigia:rain:
The thing is unaonekana still you real love the man kwa kweli. Cha msingi chukua maamuzi magumu ya kumuacha
hawezi kukusumbua milele after all you have you own so humtegemei kihivyo najitahidi kuanzisha mahusiano mpya kama uko tayari ili kumtoa moyoni mapema