ehehehehehehhe...hebu twambie hizo Pm subject ilikuwa nini? i know haikuwa salamu tu!!!!na nani katuma nyingi zaidi..kuna mtu ataachwa hapa xspin upo???
mzigo wote wa kazi umelala kwangu yeye muda
On top of that yeye ni muwazi....Sure, ukizingatia kuwa avatar yake ni picha yake halisi hali kadhalika jina lake!
Au anaweza kupunguziwa hilo rundo la kazi..kesho atakutana na barua ya ridandasi mezani kwake
Duh! sitaki kuvunja ndoa za watu! sijapata ya xspin. so don worry zion Daughter
Sasa wewe kama huwezi Mzigo wa boss tafuta mwepesi utakao konga nyoyo yako!
Hey guys!.
I just feel that I hate my boss. I even Dont want to see him.
Namchukia sana.
Huyu jamaa hajui wajibu wake hata chembe! mzigo wote wa kazi umelala kwangu yeye muda wote yuko na yahoo massanger!!
yaaani!!!!!
grrrrr!!!!!!!!!!....................
Vivian best wangu naona hamna tofauti sana na bosi wako wakti yeye yuko na (highlighted) na wewe uko JFHey guys!.
I just feel that I hate my boss. I even Dont want to see him.
Namchukia sana.
Huyu jamaa hajui wajibu wake hata chembe! mzigo wote wa kazi umelala kwangu yeye muda wote yuko na yahoo massanger!!
yaaani!!!!!
grrrrr!!!!!!!!!!....................
Wewe Vivian acha uvivu wa kisister Do.Mshukuru mungu kukupa boss anayekuanadaa kuchukua nafasi yake muda wowte?Mshukuru mungu kukupa boss anayekupa kazi?
Mshukuru mungu kukupa boss anayekusababishia wewe ujifunze kazi.
Pia acha mara moja swala la kuja hapa kuonyesha uvivu wako.
Yeye mpaka anakuwa boss wako amefanya kazi mpaka wamemtambua wewe anakuaanda unakuja huku kulalamika.
Uliza wenzio walio makazini na tabia za mambosi wao ujilinganishe na wewe wewe upo juu na anakuamini na ndo maana anakuachia kazi.
Ebu acha uvivu wako mara moja fanya kazi.
Labda kama unamchukia kwa kutongoza ila kama ni kazi kula mzigo ujue anakuuandaa bila wewe kujiujua.
Ok
Hilo nalo neno!!
Jamani dada Vivian ana genuine problem. Hebu msaidieni mawazo ya jinsi ya kucope na boss wake. Haijulikani kama huyu boss na yeye ni mwajiriwa au ni mwajiri (sole proprietor). Kama ni mwajiriwa na yeye namshauri awe mpole kwa sababu ya Mungu mengi kazi yake itaonekana na maboss wa boss wake yamkini yeye akaukwaa uboss(nafasi ya boss wake). La kama ni proprietor, amwombe Mungu ampe uvumilivu wa kuchukuliana na boss wake, even then Mungu halali anaona kazi zake.
Si hivyo kwa harakax2 Vivian ni mvivu sanaaaaaaaaa
huwezi kupewa kazi na boss wako hata kama yeye anacheza karata ukalamika ni jambo la kushukuru mungu au vinginevyo kuwe na kitu kingine alichokificha Vivian,
Kuna kitu tunakiita Succession Plan management.Vivian unalijua hili anakuandaa

I think it is in place labda yeye hajagundua
Huyo bosi basi balaa. Au ndiyo yule wa siku ile mpwa? Wa six packs?
Ndio maana nimesema namtamani bosi wako.unachezea bahati wewe!Amka dada!
Wewe Vivian acha uvivu wa kisister Do.Mshukuru mungu kukupa boss anayekuanadaa kuchukua nafasi yake muda wowte?Mshukuru mungu kukupa boss anayekupa kazi?
Mshukuru mungu kukupa boss anayekusababishia wewe ujifunze kazi.
Pia acha mara moja swala la kuja hapa kuonyesha uvivu wako.
Yeye mpaka anakuwa boss wako amefanya kazi mpaka wamemtambua wewe anakuaanda unakuja huku kulalamika.
Uliza wenzio walio makazini na tabia za mambosi wao ujilinganishe na wewe wewe upo juu na anakuamini na ndo maana anakuachia kazi.
Ebu acha uvivu wako mara moja fanya kazi.
Labda kama unamchukia kwa kutongoza ila kama ni kazi kula mzigo ujue anakuuandaa bila wewe kujiujua.
Ok
duh, shemeji umepotelea wapi??
maana nakuamninia kwa kurekebisha tabia, umepotea sana hapa jamvini.
vipi bebii hajambo?.