FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
I will unless you change your avatar if you know what I mean. Utapata pm nyingi kwa sababu ya hiyo avatar. Kama unabisha muulize Firstlady1. Hahaha! Mchumba sorry, I hope umenielewa.
au utuoneshe hadi chini...aimini full.I will unless you change your avatar if you know what I mean. Utapata pm nyingi kwa sababu ya hiyo avatar.
au utuoneshe hadi chini...aimini full.
napenda kuwa mkweli na ndo maana nimeweka ma real photo! I cant fool ppl with another avator chrispin. Et fl1 ni kweli unapata pm nyingi sana? Coz jana nimepata pm zaidi ya 30. Na zote nilijibu.
Vivian I have the worst boss on earth na anajulikana mjini hapa kwa roho mbaya bora huyo anayekupa makazi huyu anakufukuza na kazi laini na komaa naye kila siku kabla ya kazi nasali/nasoma zaburi ya 35 najikabizi mikononi mwa Mungu na si mwnadamu pia nafanya majukumu yangu nikibooreka saaaaana nawasiliana na wapwa hapa JF maisha yanasonga
Utahama hiyo kazi na utaeenda sehemu nyingine utakutana na BOSS anataka ze utamu hapo ndio utachanganyikiwa halafu BOSS mwenyewe ni HIV +
Kama anapata PM 30 kwa siku,basi usimpm tena,nimeghairi! sidhani kama kuna usalama.
Zote? unauza binamu?Napenda kuwa mkweli na ndo maana nimeweka ma real photo! i cant fool ppl with another Avator Chrispin. Et FL1 ni kweli unapata pm nyingi sana? coz jana nimepata Pm zaidi ya 30. na zote nilijibu.
Thats my shemeji! good.Na mimi namtamani bosi wa kunirundikia makazi,Bosi wangu mie ananilemaza, na I hve decided to be my own BOSS,nafikiri hii itasaidia sana,vinginevyo namtamani Bosi kama wa Vvian
Hahaha! Wivu au maloveee?
Thats my shemeji! good.Na mimi namtamani bosi wa kunirundikia makazi,Bosi wangu mie ananilemaza, na I hve decided to be my own BOSS,nafikiri hii itasaidia sana,vinginevyo namtamani Bosi kama wa Vvian
Hii avatar ya vivian hii mh!
inanichanganya ujue.
Kama kweli unamchukia, mwambie asipoteze muda wake kwenye Yahoo, mkaribishe hapa na jaribu kumwonyesha thread hii!
kama kweli unamchukia, mwambie asipoteze muda wake kwenye yahoo, mkaribishe hapa na jaribu kumwonyesha thread hii!
Napenda kuwa mkweli na ndo maana nimeweka ma real photo! i cant fool ppl with another Avator Chrispin. Et FL1 ni kweli unapata pm nyingi sana? coz jana nimepata Pm zaidi ya 30. na zote nilijibu.