Hey guys!.
I just feel that I hate my boss. I even Dont want to see him.
Namchukia sana.
Huyu jamaa hajui wajibu wake hata chembe! mzigo wote wa kazi umelala kwangu yeye muda wote yuko na yahoo massanger!!
yaaani!!!!!
grrrrr!!!!!!!!!!....................
Hey guys!.
I just feel that I hate my boss. I even Dont want to see him.
Namchukia sana.
Huyu jamaa hajui wajibu wake hata chembe! mzigo wote wa kazi umelala kwangu yeye muda wote yuko na yahoo massanger!!
yaaani!!!!!
grrrrr!!!!!!!!!!....................
Hahaha! Na wewe uko na Jamii Forums! Ngoma droo! Love him baby!
Niko na jamii forums huku napiga mzigo!! ila jamaa kaniachia workload yote m2 wangu. natamani hata niache kazi. nikirudi home niko hoi. yaani hoi ya ukweli. but I belive there is life after employment!!!
Just for my personal interest, kwani unafanya kazi gani? Nataka nikupe kaushauri flani hivi!
si um-Pm? Lakini sio kila siku
Lots of ppl wana ni pm!! please dont pm
I will unless you change your avatar if you know what I mean. Utapata pm nyingi kwa sababu ya hiyo avatar. Kama unabisha muulize Firstlady1. Hahaha! Mchumba sorry, I hope umenielewa.
Is it that simple? just tell me how to do it!!
Napenda kuwa mkweli na ndo maana nimeweka ma real photo! i cant fool ppl with another Avator Chrispin. Et FL1 ni kweli unapata pm nyingi sana? coz jana nimepata Pm zaidi ya 30. na zote nilijibu.
Kama anapata PM 30 kwa siku,basi usimpm tena,nimeghairi! sidhani kama kuna usalama.Hahaha! Serious?