I Found The Bomb!

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
I found The Bomb!

I found the bom 1.jpg
 
Kweli hamjui kusoma picha! Mabomu ya aina hiyo huwa hayana waya bali yanautambi, sasa huyo jamaa ambaye amejitambulisha kuwa yeye ni Engineer wa kutegua Mabomu haelewi ni Bomu la aina gani, kwahiyo kilichofuata kwa huyo jamaa anyedai He found the Bomb na huku Bomu lenyewe halina waya bali ni utambi ni sawa na kilichomkuta David Mwangosi R.I.P!
 
Engineer ni kilaza, elimu ya kukariri, swali la kwanza kabla ya kutoa ushauri ilikuwa ni hilo bomu lina muonekano gani? Walau angemshauri hata kulitupia mbali just in case inawezekana or amwambie kimbia haraka sana. Hadi sasa muomba ushauri ni marehemu tokana tu na uzembe wa Engineer fake.
 
Back
Top Bottom